Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,982
- 134,120
Uzuri wa Mafuriko haya yamepangwa na kupangika.Haina kuvizia.Kesho mafuriko yanavuka bahari mpaka Zanzibar "kumuapisha" Maalim Seif kama rais wa Zanzibar.Hivyo polisi mnaombwa kukaza roho.Wale waliopanda bei na kutumiwa kutoa uchambuzi fake ongezeni bidii.