Mkuu mimi nimependa sana hii kitu,lakini kwa hapa naona haitakuwa fresh maana naona wadau wanapita tu,mnaonaje kama nikiwapa free of charge kwenye my blog kuweka tangazo hlo kuhusu semina hyo?
Kama mpo pouwa ni pm then nikupe email utume tangazo hlo then niwawekee,angalia blog yenyewe hii hapa kama inawafaa
gonga hapa
GSHAYO