Mafunzo ya ujasiriamali


J

josepher

Member
Joined
Dec 15, 2009
Messages
77
Likes
1
Points
13
J

josepher

Member
Joined Dec 15, 2009
77 1 13
MAFUNZO YAUJASIRIAMALI
Je, unania ya kuanzisha na kumiliki biashara yako mwenyewe? Wataalum wa mbinu mbalimbali za biashara wameandaamafunzo maalum ya ujasiriamali. Mafunzo kama haya yamefanyika pianchini Kenya na Uganda na kuwawezesha watu wengi kuanzisha na kumiliki biashara zao zenye mafanikiomakubwa.WALENGWA:Walengwa wakuu ni watu wote wenye umri kuanzia miaka25 na kuendelea na wenye vigezovifuatavyo:v Wale wote wenye kutamani kuanzisha biasharainayoendana na wakati au inayoendana na mabadiliko ya kisayansi na tekinolojiayanayotokea ulimwenguni.v Wafanyakazi ambao wangependa kuanzisha biashara bila kuacha shughuli walizonazo
JINSI YA KUSHIRIKI:
Ili kushiriki,jiandikishe kwa kutuma barua pepe kwenda FinancialFreedomtz@rocketmail.com;AU PIGA +255 777-020703,kwa kuandika jina lako kamili, umri, namba ya simu nashughuli unayofanya kwa sasa.
Mafunzo yatafanyika mkoa wa Dar esSalaam kwa ratiba iliyotolewa hapo chini.
SIKU: Ijumaa,14[SUP]th[/SUP] October 2011MUDA: 9 :00Alasiri mpaka 12:00 JioniMAHALI: HolidayInn Hotel, City Centre, Dar es Salaam Gharama za mafunzo zitakuwa TZS 10,00tu kwa kila mshiriki. Mafunzo yatahusisha ushauri wa aina zabiashara ambazo watafiti wametabiri zitafanya vizuri zaidi kwenye wakati huu waushindani mkubwa.Jiandikishe mapema kulinda nafasiyako.
 
Dio

Dio

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
1,278
Likes
5
Points
135
Dio

Dio

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
1,278 5 135
Mkuu mimi nimependa sana hii kitu,lakini kwa hapa naona haitakuwa fresh maana naona wadau wanapita tu,mnaonaje kama nikiwapa free of charge kwenye my blog kuweka tangazo hlo kuhusu semina hyo?
Kama mpo pouwa ni pm then nikupe email utume tangazo hlo then niwawekee,angalia blog yenyewe hii hapa kama inawafaa
gonga hapa
GSHAYO
 

Forum statistics

Threads 1,236,683
Members 475,218
Posts 29,266,857