Mafunzo ya polisi kama ndo haya nimeshindwa

Mbona matusi sehehmu ya kawaida sema mimi sikupiga ccp nilikuwa sehemu nyingine
matusi yanakukomaza kiakili sio uje ukutane na raia akutukane tusi upige risasi jeshini hakuna siasa sema mimi nilisoma sana nikaacha kazi nikaendelea kuwa na umeneja wangu
Hakuna njia nyingine zaidi ya MITUSI? kwa dunia ya LEO? ndio maana kati ya vitu unatakiwa uende navyo ni pasi ya mkaa, kweli? leo tunaongelea pasi ya mkaa? iliujifunze nini? kwa faida ipi?
 
Kile chuo wanaomaliza ni askari wakakamavu tu.

Ukiishapita CCP utaweza kuishi sehemu yoyote duniani na kuvumilia matatizo ya kila aina mpaka ukafanikiwa

Mimi nimepiga miezi tisa pale CCP enzi za Mkisi R.I.P , RSM HARRISON NG'ECHI na AFANDE SAIMORA MASAGAMBA.

Ni kweli lugha zinazotumika na shuruba inayotolewa pale kama wewe ni mtoto wa mama huwezi maliza hata wiki

Ni aibu kwa mtoto wa kiume kuja hapa hadharani kulia kama unataka kubadilishwa nepi. CCP ni chuo cha kijeshi na watu kama wewe hamtakiwi kupita pale kwani hatutaki kuja kupata askari mdebwedo urojo wasio weza kudhibiti viroba na wahalifu


!
!
ni chuo cha raia wakakamavu.

sie huku polisisiem wachumba tu akija mmoja au wawili tunawatuliza tu na kichapo na ndio maana wana adabu
 
Mkuu usiniguse niliwahi kuambiwa kuwa jeshini kote matusi ni sehemu ya mafunzo ili ukikutana na raia akakutukana usipatwe na hasira (ukizingatia wanakuwa na siraha), au wewe askari utumie hayo matusi kuharasi pale inapobidi.
 
Last edited by a moderator:
wanafundishwa na jinsi ya kuongeza maambukizi ya ukimwi

Ningependa kujua elimu yako maana unachokiandika is abstract;HIV ni mtu binafsi sio kwa kazi yake;inawezekana ata wewe japokuwa ni mkulima wa bamia lakin you're affected with HIV
 
Kwa keli majeshi ni nouma ukiacha matusi ambayo hukomaza saikolojia ya mwanafunzi kuna aina ya mafunzo na maeneo yake hukomaza mwili. Lakini ccp labda ya zamani sana sio sasa ati askari anakutana na raia akiwa mafunzoni kila jioni baada ya wiki kadhaa za marunzo..nendq JKT uone ama Shimoni kule KIWIRA ambapo ukiingiq ukitoka wajiona kama sio binadamu. Polisk wanafunishwa mambo mengine ila ukakamavu hakuna kwa sasa sio kivilee. Hapo sijawazungumzia wale madoja wa mafunzo kwa kukaba sick mbaka kozi inaishq. Yaani hakuna askari kayika jeshi la sasa la polisi otherwise wale wanaotokq JKT wakaenda polisi. Wanatoka majumbani mwao wanaenda kujifunza uaskari wakiwa na alama ya fedha za rushwa wakimaliza. Kazi sana jeshi la polisi na mafunzo yake kwa sasa. Ila wapo waadilifu nakubali
 
Back
Top Bottom