Mafunzo ya polisi kama ndo haya nimeshindwa

JE mkuu hakuna njia nyingine zaidi ya hii,mbona sioni wanapoenda kutuliza fujo wakatumia hayo matusi bali wanaenda kutoa kichapo
Mkuu usiniguse niliwahi kuambiwa kuwa jeshini kote matusi ni sehemu ya mafunzo ili ukikutana na raia akakutukana usipatwe na hasira (ukizingatia wanakuwa na siraha), au wewe askari utumie hayo matusi kuharasi pale inapobidi.
 
Sasa chuo kinaongoza hadi Mkuu wake anat*a wanafunzi kweny bwalo achilia mbali wakufunzi ambao wanajua wanaumwa wanatembea na kiruta na kuwaachia virus ndo ukakamavu huo kwel!
Ndio maana wanaosona hiyo kazi wengi n waliofeli na kukosa dira ya maisha.
 
Wewe ulifikiri mafunzo ya kijeshi ni sawa na kwenda picnic? Ule ni wito unatakiwa ujitoe kwelikweli na matusi ni lugha ya kawaida katika training.wewe ni mtoto wa mama ndio maana kozi imekushinda!! Endelea kukaa kijiweni acha wanaume wapige kozi.
 
hakuna kuruta kumkataa mkufunzi
Sasa chuo kinaongoza hadi Mkuu wake anat*a wanafunzi kweny bwalo achilia mbali wakufunzi ambao wanajua wanaumwa wanatembea na kiruta na kuwaachia virus ndo ukakamavu huo kwel!
Ndio maana wanaosona hiyo kazi wengi n waliofeli na kukosa dira ya maisha.
 
Nilidhamilia kulitumikia jeshi tena nikiwa graduate nikaona haya matusi bora yanipitie mbali ipo siku watanishika makalio wajinga hawa
Inaonekana kweli ulienda kucheki upepo
hapo hapashikiki nenda sehemu zingine
 
Sasa chuo kinaongoza
hadi Mkuu wake anat*a wanafunzi kweny bwalo achilia mbali wakufunzi
ambao wanajua wanaumwa wanatembea na kiruta na kuwaachia virus ndo
ukakamavu huo kwel!
Ndio maana wanaosona hiyo kazi wengi n waliofeli na kukosa dira ya
maisha.

Huo ni mtizamo wako finyu,ila tambua hata seminary hayo hutokea,kusema wanaosomea upolisi ni waliokata tamaa ya maisha ni ujinga kwa kuwa siku hizi bila DIV III ya kidato cha nne hupokelewi binafsi niliingia kwa colification hizo na nimeacha baada ya kujiendeleza kwa mshahara wa upolisi mpaka kupata elimu ya juu....Binafsi siwezi kuubeza upolisi.
 
kunarafiki yangu nilimuacha alienda na demu wake ,mbona uchumba uliishia hukohuko na jamaa akawa anapewa adhabu kila mara .Huyu rafiki ameniambia alijua mchumba wake mkufunzi anapiga yeye akaamua kuwa mpole lakini haitoshi akaanza kusulubiwa bila sababu.
Kwa hiyo mkufunzi hatongozi?
 
polisi wanataka form iv div 4 point 28
Huo ni mtizamo wako finyu,ila tambua hata seminary hayo hutokea,kusema wanaosomea upolisi ni waliokata tamaa ya maisha ni ujinga kwa kuwa siku hizi bila DIV III ya kidato cha nne hupokelewi binafsi niliingia kwa colification hizo na nimeacha baada ya kujiendeleza kwa mshahara wa upolisi mpaka kupata elimu ya juu....Binafsi siwezi kuubeza upolisi.
 
Nakumbuka siku ya kwanza tulipopelekwa mess kula nilipatiwa ka ugali kadogo sana na mchuzi wa maharage, nikaamua kwenda kulalamika kwa afande, nilichoambulia ni mbata ya kisogo na kurushwa kichura uwanja wa damu huku nimebeba bunduki juu. Hiyo ni kuwafanya askari wawe ngunguri.

Ukitaka kujua matokeo ya hayo mafunzo kawaulize sheikh ponda na Dr Slaa hao wameonyeshwa mafunzo ya CCP hutoa nini...

We jisifie ujinga tu,,

Eti ukakamavu huku unatukaniwa mama yako, unaitwa M k ndu unajisifia ukakamavu..

Ndio maana mna dhiki mpaka kufa kwenu polisi wa nchii hii sababu ya laana mnazojitengenezea..

Wenzenu tunaojielewa tulioamua kukomaa kwenye corporate world tunaingiza data tu kwenye ma ERP system mishahara kwa wastani tunalipwa milion 2 hapo tunatoka vyuoni na hatutukanwi wala nini zaidi ya kuwekewa KPI tu tucheze nayo..
 
Back
Top Bottom