Mimi nimesikia njiwa ni ndege wa baraka sana kiasi kwamba
kama una mikosi au nuksi kubwa kubwa huwezi kuwafuga
hapa nazungumzia watu kama wauaji
au wachawi sugu nasikia njiwa hawakai majumbani mwao
au watu wenye kufanya taboo kama kutembea mtu na mzazi wake na kadhalika
Watanga mna mambo[emoji16]Masharti yakee et upate njiwa mweupee pee ndo anafaa zaidi nitajaribu one day
Watamu sanaNaomba kujua njiwa wanaliwa?????
Nafikiri hiyo dhana ya weupe wameichukua kwa Nuhu alivyomtuma njiwa mweupe baada ya lile janga la safina
Mzee Mpili wewe[emoji38]Zile mechi za kishule ama mtaani, tukiwa wadogo, nlikuwa ili kuwatisha tu wapinzani, naenda uwanjani na njiwa niliemfunga hirizi mguuni na kumrusha hewani! Ile taharuki ilikuwa burudani tosha
DuuhMkuu ulikuwa hujalipia mahari ya huyo jike ndiyo maana dime likipata Watoto wanarudishwa kwao
Hahaha duh.Mkuu ulikuwa hujalipia mahari ya huyo jike ndiyo maana dime likipata Watoto wanarudishwa kwao
Kukiwa na sherehe je? Maana isije ikawa huwa wakiona mazingira ya watu kuwa wengi katika namna ambayo hawajazoea kuona siku zote wanajificha. Kukiwa na sherehe ambayo nayo huwa inakusanya watu wengi mithili ya msiba, huwa wanakuwaje?Huwaambia kwa lugha ya Kiswahili tu kwa maneno-taarifa. Kwa mfano: "Jamani hapa kuna tatizo limetokea.Kuna msiba. Ndiyo maan kuna watu wengi na vilio.Msishangae wala kushtuka." Wakati wa kusema hivyo,ni wakati wa kuwapa chakula kwa pamoja ili waje wote mahali fulani
Hata kuchinja inatakiwa uchinje jike na dume...!Yeah Ni kweli kuna siku nilishuhudia njiwa alishikwa kwa ajili ya kuchinjwa sasa mchinjaji akaenda mbali nikauliza nikapewa story hiyo hiyo