Mafunzo ya njiwa...

Nimetamani kufuga hawa ndege kupitia hii thread..

Ntalifanyia kazi tu.
 
aina za njiwa,sonara.tz,chokichoki,kalakala,kisoda
 
Binadamu tumecopy hivi vitu kwa hawa viumbe,yaani njiwa anakupigia romance hadi unasikia raha,wallah hawa viumbe ni wataalamu wa mahaba
Hahahaaa....

Kweli kabisa.
Njiwa wanapomaliza,round wakitaka kwenda round huandaana tena kwa romance na denda, kisha jike anapokuwa tayari, huchuchumaa ndipo dume hujituma shughulini.
 

Hata mimi nishawahi sikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…