Mafunzo ya Meditation Bure. Ni Kupitia Brahima Kumaris Meditation Centre!. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafunzo ya Meditation Bure. Ni Kupitia Brahima Kumaris Meditation Centre!.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Pascal Mayalla, Apr 25, 2012.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,589
  Trophy Points: 280
  Wanabodi,

  Kwa wapenzi wa meditation, na wasiojua kuhusu meditation fursa ni hii!.

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Wapi hapo?
   
 3. m

  majogajo JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  npe intro ya hyo kitu.
   
 4. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,568
  Likes Received: 1,934
  Trophy Points: 280
  Satanic
   
 5. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,136
  Likes Received: 7,388
  Trophy Points: 280
  Hiyo ndio ile una-assume unapita juu ya barabara lakini ukweli unapita juu ya maji Na hauzami???
  Pia nlipata kusikia kua unaweza kuongea na mtu alieko mbali, labda Japan bila kutumia kifaa chochote kama simu, kisha uka-assume anakusikia nae akakusikia kweli mkaelewana!!
   
 6. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Pasco unatuangusha kutoa habari nusunusu! Use 5W's ku describe habari mtu mzima:doh:
   
 7. qq.com

  qq.com JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ni kuhusu usuluhishi wa migogoro katika jamii nk

  lakini hii kitu unaweza kufanya bila kusoma kwani inahitaji sana busara na kusoma mazingira ya pande mbili
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kuna bahasha kaka pasco?
   
 9. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Mtu yeyote anayedhani kwamba yeye ni mkiristo ajiepushe na UOVU HUU, Huyu Pasco asiwadanganye ni kujitambulisha kwake kwamba ni mkatoriki lakini anashiriki katika UOVU HUU ili kujustify rightiousness ya UOVU HUU. Kwanza Ukatoriki sio Ukiristo kama statement ya Pasco ina lengo lolote la kuonyesha hivyo.

  Biblia ambayo ndio Muongozo wa Imani ya Mkirsto inasema hivi kuhusu Meditation
  "O how Love I your Law! It is my meditation all the day" Psalm 119:97 na hapa "Mine eyes prevent the night watches, that I might meditate in your word" Psalm 119:48. Simple and clear, kama unataka kumedidate fanya hivyo kwa kulitafakali neno/sheria ya Mwenyezi Mungu wako usiku na mchana. Njia nyingine yoyote ya kufanya hivi ni UOVU. KAENI MBALI NA UOVU HUU
   
 10. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,589
  Trophy Points: 280
  Wapo Upanga Mtaa wa Mathundaras uko next to Don Bosco pale nyuma ya Scouts.

  Kama una nafasi siku ya Jumamosi jioni kuanzia saa 12:00 jioni, nakushauri njoo pale Russian Culture Center ushuhudie onyesho la Meditation kiingilio ni bure!.
   
 11. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #11
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,589
  Trophy Points: 280
  .
  Mkuu Sangarara, ukizaliwa gizani na kuishi ziku zote gizani, atakaeleta mwanga wa mshumaa, na kukuambia huo ndio mwanga mkubwa kuliko yote, utaamini!. Sasa utakapoliona jua, unaweza hata kupofuka!. Knowledge yako kwenye Biblia Takatifu ni huo mwanga wa mshumaa, fanya meditation hata wewe mwenyewe tuu, ufunuliwe ili ulione jua!.

  Kwa wote wasiojua kuhusu meditation, msiwe na wasiwasi kwa sababu, life goes on, "you can never miss something you never had"!.

  Wengi wetu mnafikiri kuna watu wamezaliwa kuwa masikini milele na wengine kuwa matajiri!, no!. Watu ni masikini kwa sababu they never had the opportunities to change their lives, na matajiri had not only the opportunities, but they seize them!. Jumamosi ni siku ya opportinity yako wewe kujitambua na kufungua doors of opportunities kubadili maisha yako for good!. The choice is yours, endelea kuishi hivyo unavyoishi as long as umeridhika and your happy!. Bali kwa wale wanaotaka to change for the better!, you are most welcome!.

  Wewe hivi unajua Yesu alipopanda mlimani na kuwaacha Peter na Yohana mpaka akawakuta wamesinzia, alikwenda kufanya nini?.

  Hivi kusali kwa dhadi ni kufanya nini?, au wewe unaamini kusali kwa makelele mpaka kulia ndio Mungu anasikia sana?!.

  Hivi unajua Yesu kabla hajafanya miujiza huwa anafanya nini kwanza?.

  Hebu nenda pale St. Joseph, angalia watu wanaokuja kanisani na kujikalia kimya tuu, wanafanya nini?.

  Jee unajua kitu kinaitwa "serenity?", unajua kinapatikanaje?.

  Open up!.
   
 12. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #12
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,589
  Trophy Points: 280
  Smile, bahasha is just the means, not the way, opening up is the way, na bahasha haihitajiki ndio maana kiingilio ni bure!.
   
 13. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #13
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,589
  Trophy Points: 280
  Who is Satan?, hivi mwanzoshetani hakuwa malaika?, wewe una uwezo wa kujua Mungu alianzaje?, kwa kukusaidia tuu, jinsi Mungu alivyoanza, ndivyo hivyo shetani alivyoanza!.

  Mungu ana nguvu za ki Mungu na shetani ana nguvu za kishetani.

  Bwana wetu Yesu Kristo alisema, siku za mwisho, watakuja watu, watafanya miujiza na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu!. Kwa hali ilivyo sasa, kama huna uwezo wa maono, utajuaje huko unakoabudu wewe ndiko?!.

  Meditation inakupa ufahamu, awareness na enlighment kuona yasionekanika kwa naked eyes, na kusikia voices from within itakayo kupa kweli!.

  Mimi hapa nilipo, hata kwa kutazama tuu kwenye TV naweza kuona wahubiri kibao wakifanya miujiza kwa jina la Yesu ila kiukweli wanamtumikia shetani!.
   
 14. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #14
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,136
  Likes Received: 7,388
  Trophy Points: 280
  Kwa tusiojua maana ya Hi yo kitu, tunaweza kuamini hii tafsiri ya bwana
  hapo juu??
   
 15. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #15
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Baelezeee mkuu......................
   
 16. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #16
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Well said................Mkuu Pasco wengi bado wako gizani hadi leo................
   
 17. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #17
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,589
  Trophy Points: 280
  Nakumbushia tuu ile siku ni leo saa 12:00 jioni
   
 18. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #18
  May 7, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  I hope ulienda Jumamosi, hemu tuwekee hapa taarifa tuzitafari pamoja.
   
 19. kholo

  kholo JF-Expert Member

  #19
  May 7, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 411
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  ok! sawa tuna meditate, tuna meditate nini? kuarchieve spiritual riberation, ipi? na, tunaliberate kutoka katika utawala wa nani? ndugu yangu pasco, hebu tuliza kichwa kwanza utueleze kwa kirefu, isije ikawa na wewe hujui unachokifanya tukusaidie. hayo mafunzo ya kumeditate, tunamtafakari Mungu huyu aliyeziumba mbingu na nchi au satan? maana huko nako kuna power meditation. kama hujui unachokitangaza ndugu yangu nikusihi tu uishie hapo unless umeamua kuwa wakala wa kumtangaza satan. kaka yangu pasco, zipo zambi nyingi sana za kukufanya uende jehanam, ya nini kuifanya hii kazi isiyokuwa na faida?(labda kama unalipwa na kwa akili zako timamu umeamua kumkana muumba wako, its ok). just think twice my brother. GOODLUKY
   
 20. kholo

  kholo JF-Expert Member

  #20
  May 7, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 411
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Noo! unacho sema sio cha kweli Pasco, acha kujihalalishia unachokiamini kuwa ndio kusudi la Mungu. remember, there are only two spiritual kingdoms(Almighty God's kingdom and Satanc/darkness kingdom). hakuna nguvu nyingine hapa katikati inayoweza ku kupambanulia uongo au ukweli uliomo katika hizi falme mbili. kusinge kuwa na maana Yesu kusema "nitawaletea msaidizi"(roho mtakatifu) kama tungekuwa na uwezo wa kuzipambanua hizi roho wenyewe. sasa huko kupambanua roho zidanganyazo kwa kutumia akili/uwezo wako mwenyewe, si ni sawa na mfanya Mungu ni muongo? je, kauli yako inatofauti gani na kauli ya yule nyoka pale edeni? TAFAKARI!!
   
Loading...