Happinessmassagetz
Member
- Aug 18, 2016
- 47
- 26
Happiness Massage Services inawatangazia nafasi za Mafunzo ya Massage LEVEL 1 kwa muda wa miezi miwili. Mafunzo yatatolewa kwa njia ya Nadharia na Vitendo. Wanafunzi watajengewa uwezo mzuri katika taaluma hii.
Wanafunzi watafundishwa njia mzuri za kutumia maarifa yao kwa kujiajiri na kuisaidia jamii.
Sifa za Kujiunga na mafunzo
· Awe mtanzania mwenye umri kati ya miaka 18 hadi 30
· Awe anajua kusoma na kuandika
· Awe na wito wa kuihudumia jamii (kujitolea) kwa lengo la kuboresha afya za Watanzania
· Awe tayari kulipa ada ya mafunzo ambayo ni TZS 300,000/=, italipwa kwa awamu 2 [TZS 150,000/=]
· Awe tayari kufuata taratibu za mafunzo ikiwemo kuhudhuria mafunzo kikamilifu bila utoro.
Uombaji wa nafasi ya mafunzo unafanywa Mtandaoni katika tovuti ya Happiness Massage Services. Wahi kufanya maombi kwani kuna nafasi 5 tu.
BONYEZA HAPA KUOMBA
NB:- Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 10/July/2017
-Maombi haya ni BURE, hayalipiwi.
Happiness Massage Services
+255 715 343 161
Ilala,Dar Es salaam