Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,217
- 27,049
Hahahaaahah nawaona wazalendo mlivyo na hamu .Ikulu haihusiki na hili, kuna mamlaka husika, Tuendelee kusubiria tu wao wahusika ukijaribu kuwauliza wanasema endeleeni kusubiria.
Wengine wanakwambia hiyo hainagana Ronja siri yake iko Makao, Muda ukifika mtaitwa na mtaenda kuweni wapole tu.
Vumilirni tu ila hata wasipotoa kabisa msiwaze kwani mnaenda kujitolea tu wala hajamlipia pesa zenu .
Komaeni Kitaa tu wakitoa tu mbebe mattaka yenu msepe[emoji3]