Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

wale vijana wa kujitolea walioko Oljoro wameshaajiliwa bila ya kwenda kozi
Nilisikia wamepewa namba inamaana wanatambulika tayari

Sio rahisi kuajiriwa jeshi halina siasa.........kozi lazima ipigwe bado wanasubiri waulize vizuri tuuu
 
Nakumbuka mashairi haya...iliwah kuandikwa usiyemtaka kaja hatujaelewa maana yake labda sababu ya ujio wako utatuambia maana yake. "km ukiwa makin kwa nje utasikia sauti na makundi ya wa2,wengi wao vijana wana bahasha za kaki...wanauliza km hamtupi taka shimo hili mlichimba la nn? lakn ukichunguza kwa makin ndani ya saut hizo kuna watoto,wazee na akina mama....... "sas hiv wanakupikia wew ule ulale ukiamka uwaambie dhima ya safari yako..... Daah wimbi la kukosa ajira kwa vijana ishakuwa tabu tutangoja mpaka lini....hahahahaha... nacheka kwa dharau sio km napenda embu ngojeeni tuone mwisho wake..
 
Mkuu
Kumbe umesikia bora ungekuwa umeambiwa,hizo za kusikia hatuzitaki tunasubiri taarifa kamii kutoka kwa washauri wetu wa migambo
nimeshare nilichokisikia it might as well kuwa nilichoambiwa. Ndo main purpose ya thread kupeana taarifa. Ndo maana ya kuuliza "kuna ukweli humu" au nilikosea kutokuweka a question mark ikasound kama a statement. Feel the conscious to get the info toka kwa wagambo might as well leave the thread jombaa.
 
Wakuu ebu tujaribu kuwa Analytical, kila Mmoja wetu kwa Mkoa wake alipo, awasiliane na Mshauri wa Mgambo wa Wilaya Yake, then kutokea hapo tutajua Ukweli wa Mambo.... Weekend Njema wakuu.
 
Wakuu ebu tujaribu kuwa Analytical, kila Mmoja wetu kwa Mkoa wake alipo, awasiliane na Mshauri wa Mgambo wa Wilaya Yake, then kutokea hapo tutajua Ukweli wa Mambo.... Weekend Njema wakuu.
Mkuu wao pia wanasema tusubirie taarifa, tutaitwa muda ukifika.
Tuendelee kuvumilia wenye roho ngumu kama mimi.
 
Wakuu ebu tujaribu kuwa Analytical, kila Mmoja wetu kwa Mkoa wake alipo, awasiliane na Mshauri wa Mgambo wa Wilaya Yake, then kutokea hapo tutajua Ukweli wa Mambo.... Weekend Njema wakuu.
Ili iweje...? mliambiwa mtatangaziwa kwenye vyombo vya habari
 
Wakuu ebu tujaribu kuwa Analytical, kila Mmoja wetu kwa Mkoa wake alipo, awasiliane na Mshauri wa Mgambo wa Wilaya Yake, then kutokea hapo tutajua Ukweli wa Mambo.... Weekend Njema wakuu.
Washauri nao wanasema hivyo pia
 
Ila leo kwenye matangazo tulia aliwatangazia wabunge wanaotakaa kujiandikisha kwenye mafunzo ya jkt wajiandikishe majina na alitoa namba kwa wabunge kwa maelezo zaid sasa cjajua ni mafunzo hayo amabayo tunatarajia kuitwa au ni yapi
 
Back
Top Bottom