Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mkuu kuna mtu humu umemuona hana akili na hana utimamu?au umekurupuka usingizini
Mmoja wapo wewe unaekurupuka kushutumu bila kusoma na kuelewa nilicho maanisha. Ktk maandishi yangu umeona nimemnyooshea mtu kidole kuwa hana utimamu wa akili?? nimemzungumzima askari na si raia kama wewe. Lean to read bro.

Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mmoja wapo wewe unaekurupuka kushutumu bila kusoma na kuelewa nilicho maanisha. Ktk maandishi yangu umeona nimemnyooshea mtu kidole kuwa hana utimamu wa akili?? nimemzungumzima askari na si raia kama wewe. Lean to read bro.

Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
ww mhaya na kisimu chako cha tecno M3
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hoja si tecno M3, hapa hoja ni maandishi na point tuu. Sina mashindano ya simu mimi zaidi kutoa hoja. Twende kazi

Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji16] [emoji15]tecno m3 kumbe zipo mkuu jambo afande
 
Zipo za kutosha mkuu hadi Nokia 2800 ninayo na uwezo wa kuhifadhi vitu vya zamani hadi ukaniona ka mshamba vile kumbe mi ndio nakuinjoi unae jiona mjanja mwenye vitu vipya wakati vyangu vipya navitumia vilevile[emoji12] [emoji12] [emoji12]

Mkuu nitunzie ile siemens shape umbo la chura naja ichukua naifeel mnooo[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Naipata ukihitaji zipoo mkuu hadi Motorola vile vidogo vyeusi vyenye mwanga wa blue[emoji2] [emoji2] [emoji2] karibu mkuu
 
Ajira ya jeshi sio kama ya mgodini au ualimu, Jeshi ni zaidi ya mlijuavyo naona mnapeana vironja vya uongo na kweli basi ili mradi kila mtu katoa taarifa tuu, muache ujuaji mwingi madogo. Jeshini kuna wasomi hadi wenye masters kadhalika PhD wametulia wanaskilizia ajira. Askari mzuri na mzalendo kwa taifa lake huwa hakurupuki na anakiwa na utimamu wa akili., tulieni.
Sijaelewa point yako inalenga wapi.
 
Utapata shida sana kuelekeza miraia hadi ikuelewe hua haiamini mpaka damu
 
Asante mike tujitahidi hivyo hivyo bado wataelewa tu one day yes. Sometimes awareness of once ignorance can save as a motivational force to lean. Let us keep on educating them mike

Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
 
Point yangu vijana waache mihemko ya habari ambazo hawana uhakika Nazo that's my point mkuu.

Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
Ahaaaa owkey sasa msomi wa PHD kweli anackilizia ajira ya jeshi mpaka leo??. Ina maana ajira zimekuwa ngumu kiasi hiki adi phd wanaitaka jkt?? Au nimekuelewa vibaya??
 
Yes still PhD holders wanasubiria kwenda cadet sio Jkt mkuu wanahitajika kulingana na professional zao u feel me?

Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
 
Ahaaaa owkey sasa msomi wa PHD kweli anackilizia ajira ya jeshi mpaka leo??. Ina maana ajira zimekuwa ngumu kiasi hiki adi phd wanaitaka jkt?? Au nimekuelewa vibaya??
Nasio kwamba ajira zimekuwa ngumu ni utaratibu tuu ndio mana nikasema jeshi sio kama kazi ya Mgodi au professionals zingine kwamba unafanya interview Leo baada ya siku mbili au tatu unaanza kazi, Army inahatua zake.

Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
 
Nasio kwamba ajira zimekuwa ngumu ni utaratibu tuu ndio mana nikasema jeshi sio kama kazi ya Mgodi au professionals zingine kwamba unafanya interview Leo baada ya siku mbili au tatu unaanza kazi, Army inahatua zake.

Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu, haya mambo ya kijeshi wengine hatujui kitu.. Ndo mnatufungua kidogo.
 
Back
Top Bottom