Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Hii inawez kuwa ahueni kwetu, na safari kuwa karibu. Maana tunapeana taarifa ila huwa hatuna uhakika sana.Wa Orjoro Wanakinusha Tarehe 15 August
Hii inawez kuwa ahueni kwetu, na safari kuwa karibu. Maana tunapeana taarifa ila huwa hatuna uhakika sana.Wa Orjoro Wanakinusha Tarehe 15 August
Duuu walisota sana mungu awasaidieWa Orjoro Wanakinusha Tarehe 15 August
Home town hapo, Ndio Chuo kimemalizika safari ya kurudi nyumbani Arusha, miss mingi Sana arusha, miaka mitatu sio mchezo kabisaWa Orjoro Wanakinusha Tarehe 15 August
Intake yao watakua wamevunja rekodi ya kukaa uzalendo zaidi ya miezi 6tpdf walikuwa hajafungua tu kozi wamejila *****[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa wewe ukisema utakaa sana na hao wazalendo waliopo oljoro wasemeje???vuta subira vitu vizuri havitaki haraka potMujibu wa Sheria wanamaliza tar 13 September,, kama kigezo ni kusubir mujib wa Sheria wamalize basi tutakaa sana kitaa
Kaka makanya upo mzimaSisi Tupo.
Upo huo mkuu kawimbo flan amazingHuo ndio nauckia kwako kwa mara ya kwanza
Mi nipo kaka Tunasubiria kauli.Kaka makanya upo mzima
Umeambiwa na nani ilinilazim jana kumcheck jamaa huko naye alijibu hawajui lini watafunguliwa koziWa Orjoro Wanakinusha Tarehe 15 August
Huko Oljoro kwa JKT au JW?Umeambiwa na nani ilinilizam jana kumcheck jamaa huko naye alijibu hawajui lini watafunguliwa kozi
Oljoro ni tpdf.Huko Oljoro kwa JKT au JW?
Mimi naona morali ya kozi kama imepungua hivi narudia tena msikate tamaa askari watarajiwa hatua mliyofikia ni kubwa sana mtafanikiwa tu mambo yatakapowekwa sawaoyaaaaa wadau mbona kimya sasa au ndio tunasubiri meli uwanja wa ndege?
Umepangwa kambi gan ww??Jamani Jkt mwaka huu fainali, sijui tutakaa home mpaka tupate mimba ndio watuite [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]