Kilanga komo
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 348
- 300
- Thread starter
- #21
Ni kweli mkuuUnavijua juu juu tu......when comes to professional works utakwama tu
Ni kweli mkuuUnavijua juu juu tu......when comes to professional works utakwama tu
Labda Paint ndio angalau utaweza kujifunza juu juu kitu kama Excel kuitumia kikazi lazm uingie darasaniKatika vitu nilivyokataa kufundishwa ni pamoja na hizi course za kompyuta, maana ni upuuzi tu!
Kitu cha kwanza unatakiwa uwe na pc, vingine vyote utavijua tu!
Kabisaaa yaani🤝🤝Labda Paint ndio angalau utaweza kujifunza juu juu kitu kama Excel kuitumia kikazi lazm uingie darasani
Ukiamua kutumia tutorials, youtube nk unajifunza vizuri tu.Labda Paint ndio angalau utaweza kujifunza juu juu kitu kama Excel kuitumia kikazi lazm uingie darasani
Ndo umefundishwa hapoUkiamua kutumia tutorials, youtube nk unajifunza vizuri tu.
Unadhani hizo tutorial zinakuja from nowhere, expert anakaa anaandaa lessonsUkiamua kutumia tutorials, youtube nk unajifunza vizuri tu.
Asante kwa comment