mamabaraka
Member
- Oct 18, 2011
- 92
- 14
mara nyingi huwa napata hili wazo, watu wengi hasa watoto wa wakulima tusiokuwa na marefa tumemaliza vyuo bila kupata kazi, na serikali kila siku wanalia uhaba wa walimu, kwa nini wasitangaze basi nafasi za mafunzo ya uhalimu kwa muda mfupi kama miezi 3, au sita harafu wakatoa ajira kwa kundi hili la wahitimu wa vyuo? Ni mtizamo wangu.