mafunzo mafupi ya ualimu kwa graduate wa vyuo

mamabaraka

Member
Oct 18, 2011
92
14
mara nyingi huwa napata hili wazo, watu wengi hasa watoto wa wakulima tusiokuwa na marefa tumemaliza vyuo bila kupata kazi, na serikali kila siku wanalia uhaba wa walimu, kwa nini wasitangaze basi nafasi za mafunzo ya uhalimu kwa muda mfupi kama miezi 3, au sita harafu wakatoa ajira kwa kundi hili la wahitimu wa vyuo? Ni mtizamo wangu.
 
Mkuu kwa kweli hata hili kwa Serikali yetu bado litakuwa gumu kwani hata walimu wenyewe waliosomea fani hiyo wanasoteshwa mitaani na wengine wanahangaika na mibahasha mijini wakitafuta kazi kwenye mabenki na makampuni... watu siku hizi bana ni ma master key na mbaya zaidi wanatafuta ma simple lock kwahiyo kama si master key utasafa!

Unaposema mtoto wa mkulima haina maana you are marginalized but you marginalize yourself by looking impossibilities
 
mara nyingi huwa napata hili wazo, watu wengi hasa watoto wa wakulima tusiokuwa na marefa tumemaliza vyuo bila kupata kazi, na serikali kila siku wanalia uhaba wa walimu, kwa nini wasitangaze basi nafasi za mafunzo ya uhalimu kwa muda mfupi kama miezi 3, au sita harafu wakatoa ajira kwa kundi hili la wahitimu wa vyuo? Ni mtizamo wangu.

Ndugu kwa nini kwenye ualimu tu?Mbona husemi mafunzo ya udaktari au sheria kwa muda mfupi?
 
udactari si unaelewa unadeal na maisha ya watu, udactari muda mfupi si unaweza kuhatarisha maisha ya wagonjwa? Lakini ualimu namaanisha graduate anajua mambo mengi akielekezwa teaching techniques anaweza kufundisha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom