Inategemeana na kozi, kama mafunzo ya awali ni kati ya miezi 6-7. Kozi nyingine kama afisa kadeti ni mwaka mmoja.Kwani JWTZ wanapewa mafunzo kwa muda gani?
Kwani JWTZ wanapewa mafunzo kwa muda gani?
pia mfumo ule wa kikoloni wa jeshi la kumkandamiza raia umepitwa na wakati,mbona hii polisi jamii haisongi mbele?Kimsingi askari wengi waliopitia mafunzo wa hiyo miezi sita, hawana uelewa wa kutosha juu ya taaluma yao. Muda wa miezi sita ni mfupi sana kitu cha maana pale ni shotokulia vinginevyo ni utata mtupu. Fikiria askari wa mafunzo ya miezi sita kesho ndiyo trafiki, au kitengo cha upelelezi. Nafikiri hawa viongozi wa Jeshi la Polisi waliangalie jambo hili kwa kina maana inawezekana huu ni mzaha katika masuala nyeti na muhimu.
Inategemeana na kozi, kama mafunzo ya awali ni kati ya miezi 6-7. Kozi nyingine kama afisa kadeti ni mwaka mmoja.
Nalo ni miezi sit mpaka saba kama sijakosea kwa nujibu wa vyanzo vyangu.ha ha ha !what about jeshi la magereza?
Mkuu hebu nisaidie hapo, je unapoingia kule kuna chochote unacholipwa au hadi umalize mafunzo ndio uanze kulipwa?
Ukiwa kama recruit kuna posho wanalipwa kwa sababu wanakuwa bado recruiters hawajaingizwa katika payroll lakini kozi zote zinazofuata wanalipwa kwa sababu wanakuwa ni waajiriwa na wanakuwa waneshakula kiapo cha utii kwa amiri jeshi mkuu au kiapo cha utii wa amri zitolewazo mara kwa mara.Mkuu hebu nisaidie hapo, je unapoingia kule kuna chochote unacholipwa au hadi umalize mafunzo ndio uanze kulipwa?
Kuna utofauti lakini huwezi kuuona kirahisi, shida kubwa ya jeshi letu ni kuwa limekaa na linatumika kisiasa lakini lingeacha kutumika kisiasa ni jeshi zuri kabisa miongoni mwa majeshi ndani ya Afrika kwa ujumla.pia mfumo ule wa kikoloni wa jeshi la kumkandamiza raia umepitwa na wakati,mbona hii polisi jamii haisongi mbele?
Wewe ungekaa JKT miaka miwili ingekuwaje? Chakula kibovu, malazi mabovu n.k lakini wenzetu hata kama ni miaka miwili zile necessities wanazitekeleza. Vile vile hali ya uchumi wa nchi yetu bado ni mdogo ku accommodate kuwaweka watu for two years, na siyo hiyo tu hata ile time interval nayo ni factor kwa sababu unawaweka watu 2000 for 2yrs wakati uhitaji wa ajira ndani ya miaka hiyo miwili ni 8000 soldiers! Inabidi kuwe na muda mfupi halafu baadae hao jamaa unawapa refresh kozi.Hapo umenena mkuu...mijamaa inashikishwa SMG haraka sana
kuna hela ya "sabuni" kwa mwezi.... ni sh. ngapi...sijui..
Wadau naomba mchango wenu ..
Je muda wanaoutumia kutoa mafunzo ya askari polisi kwa miezi sita pale CCP unatosha?
1-Lini utajifunza uraia na human rights
2-Lini utajifunza Law
3-Lini utajifunza ukakamavu
4-lini utajifunza mbinu na medani za kijeshi za kukabiliana na adui na uhalifu?
5-Lini unachunguzwa kama ukikabidhiwa silaha hutaleta nayo madhara?
6-Kubwa zaidi ni lini utaenda field kupractise kazi yako before employment? au kujiunga CCP ni already employed
Nakumbuka walioenda National Service kwa mujibu wa Sheria ilikuwa mwaka mzima solid sasa hii ya polisi mhhhh
Hebu tuichambue hii kama ina tija!
Ukiwa kama recruit kuna posho wanalipwa kwa sababu wanakuwa bado recruiters hawajaingizwa katika payroll lakini kozi zote zinazofuata wanalipwa kwa sababu wanakuwa ni waajiriwa na wanakuwa waneshakula kiapo cha utii kwa amiri jeshi mkuu au kiapo cha utii wa amri zitolewazo mara kwa mara.