Mafunzo CCP mhhh

Tangu mwaka jana recruits wanalipwa mishahara kama askari aliyemaliza mafunzo

Duh..mshahara kabla ya kazi!
kura bure
kurara bure
umeme na maji bure
na mabuti ya deso!
kweri gesi retu tamu....
 
Ukiwa kama recruit kuna posho wanalipwa kwa sababu wanakuwa bado recruiters hawajaingizwa katika payroll lakini kozi zote zinazofuata wanalipwa kwa sababu wanakuwa ni waajiriwa na wanakuwa waneshakula kiapo cha utii kwa amiri jeshi mkuu au kiapo cha utii wa amri zitolewazo mara kwa mara.

mkuu hii na kwa polisi au hata JWTZ
?
 
Miezi sita inatosha sana wakubwa mengineyo yanapatikana huko huko kazini
Siku ukinyanyaswa...ndio ujue wapo mafunzoni?
Sikubalian nalo hilo.
Napenda maafande wangekua zaidi wanapata taaluma ya sheria kama mawakili.
Lakin hao kazi zao ni kutii amri
Wao kila kitu ni (ndio afande)...kamkamate mama'ko....ndio afande!
 
We need to review their curriculum
 
Mkuu Ngwini unaionaje?kwani watu wanakimbia ajira polisi?? Mbona hawatoi vyuo vya ualimu na udaktari?

Mimi nadhani c vzr maana waalimu even na madaktari nao walipaswa walipwe lakini nadhani polisi wameamua kufanya hvyo maana kwa utafiti wangu wa sasa nimegundua vijana wengi waliomaliza degree na kukosa kazi ndo wamekimbilia huko so kuwalipa ni kama kuwapoza
 
Duh!Lakini mkuu unajua kule kama huna godfather huingii CCP?
 
pesa yenyewe kumbe hawalipwi yote,kwenye mshahara wakiwa ccp,wanakatwa 150,000 kwa ajili ya chakula inayobaki ndio wanapewa,hivi serikali si huwa inatoa pesa ya malazi na chakula wakati wa mafunzo ya kijeshi..nielewesheni ktk hili.
 
mkuu,acha kudanganya,wanafunzi wanapewa mshahara gross ya sh.180,000 kwa yule asiyekuwa na degree na yule mwenye degree anapata around 454,000 na ni pesa zao..kuhusu chakula kila robo mwaka inapelekwa warrant of fund kutoka hazina kupitia makao makuu ya polisi,so who told u kama wanachukuliwa pesa kwa ajili ya chakula?
 
nilishawahi kuongea na polisi wa kike akaniambia wanawake wanapatashida sana yaani wakubwa wana-wado kwasana tu na wanafunzi wenzao hivyo mpaka wakitoka huko kama ni sugu basi una kuta inasugu bahati nzuri aliniambia huwa wana pimwa hiv vinginevyo ungekuta tuna wazika kwa sana..walisema kila inapofika jioni ni balaa..
 
quote_icon.png
Originally Posted by Mzee wa Rula
Ukiwa kama recruit kuna posho wanalipwa kwa sababu wanakuwa bado recruiters hawajaingizwa katika payroll lakini kozi zote zinazofuata wanalipwa kwa sababu wanakuwa ni waajiriwa na wanakuwa waneshakula kiapo cha utii kwa amiri jeshi mkuu au kiapo cha utii wa amri zitolewazo mara kwa mara.

mkuu hii na kwa polisi au hata JWTZ
?

hapana utaratibu uliowekwa tangu mwaka jana ni kwamba,mara aingiapo chuoni,akadahiliwa baada ya kusailiwa,hulipwa mshahara sawa na polisi anayeanza kazi isipokuwa tu anakatwa 150,000 za chakula kwa mwezi,mshahara huu hukatwa kodi ya serikali km mishahara mingine,pia hutibiwa bure hii ni kwa walio na elimu ya kidato cha nne,kwa graduates wanalipwa zaidi ya 454,000 na wao hukatwa 15000 km ada ya chakula na kutibiwa bure na kukatwa kodi. Pia hukatwa pesa ya GEPF -Government Employee Provident Fund,kwani askari polisi huhesabiwa kaajiriwa rasmi tangu alipodahiliwa ccp,na hivo mwanzoni ilileta mkanganyiko kati ya jeshi la polisi,GEPF na askari hasa muda wa kustaafu unapofika
 
quote_icon.png
Originally Posted by Mzee wa Rula Ukiwa kama recruit kuna posho wanalipwa kwa sababu wanakuwa bado recruiters hawajaingizwa katika payroll lakini kozi zote zinazofuata wanalipwa kwa sababu wanakuwa ni waajiriwa na wanakuwa waneshakula kiapo cha utii kwa amiri jeshi mkuu au kiapo cha utii wa amri zitolewazo mara kwa mara. hapana utaratibu uliowekwa tangu mwaka jana ni kwamba,mara aingiapo chuoni,akadahiliwa baada ya kusailiwa,hulipwa mshahara sawa na polisi anayeanza kazi isipokuwa tu anakatwa 150,000 za chakula kwa mwezi,mshahara huu hukatwa kodi ya serikali km mishahara mingine,pia hutibiwa bure hii ni kwa walio na elimu ya kidato cha nne,kwa graduates wanalipwa zaidi ya 454,000 na wao hukatwa 15000 km ada ya chakula na kutibiwa bure na kukatwa kodi. Pia hukatwa pesa ya GEPF -Government Employee Provident Fund,kwani askari polisi huhesabiwa kaajiriwa rasmi tangu alipodahiliwa ccp,na hivo mwanzoni ilileta mkanganyiko kati ya jeshi la polisi,GEPF na askari hasa muda wa kustaafu unapofika
Ngwini nadhani sasa umeelewa,habari ndio kwahiyo serikali haitoi tena pesa ya kujikimu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom