Nickbob
Member
- Mar 24, 2011
- 73
- 12
i dont thnk ths info is true. coz military training on its own takes one full year.as a great thinker, u re visit your research!Is this information true?!
i dont thnk ths info is true. coz military training on its own takes one full year.as a great thinker, u re visit your research!Is this information true?!
ndugu yangu,au mnataka nikwambie nina m2 ambae ni recruits? Mimi mwenyewe nimefanya auditing ya mapato na ma2mizi ya polisi kwa mwaka wa fedha 2009/2010,so nina uhakika.Ngwini nadhani sasa umeelewa,habari ndio kwahiyo serikali haitoi tena pesa ya kujikimu?
Kimsingi askari wengi waliopitia mafunzo wa hiyo miezi sita, hawana uelewa wa kutosha juu ya taaluma yao. Muda wa miezi sita ni mfupi sana kitu cha maana pale ni shotokulia vinginevyo ni utata mtupu. Fikiria askari wa mafunzo ya miezi sita kesho ndiyo trafiki, au kitengo cha upelelezi. Nafikiri hawa viongozi wa Jeshi la Polisi waliangalie jambo hili kwa kina maana inawezekana huu ni mzaha katika masuala nyeti na muhimu.
Arnold...hao matraffic wanashindwa uelewa hata na nadereva wa VETA na NIT...kwanza wengi hawajui hata clutch ipo wapi na alama za barabarani ni kama kichina kwaoNi kama wale waalimu wa miezi mi4.Then udaktari utakuwa mwaka1,sheria miezi6 nk.
Sio kweli mkubwa, hakuna cha kozi maalum wala nn hawa wanacheza kwata kisha darasani miezi sita wamemaliza, matrafiki nawaona wanateuliwa tu na kutolewa hakuna kozi wala mafunzo. Kama unabisha nitakupa ushahidi ukiuhitaji, polisi hovyo.Mafunzo ya miezi sita mpaka saba yanatosha. Nadhani hawa mabwana tokea recruit anaingia kuna programe ambayo imeandaliwa kiutalaamu. Miezi ya awali itakuwa ni kuwasltoa uraia, yaani ukakamavu baadae kidato kinaanza kama kawa. Mitaala ni lazima itakuwa inabadilika kulingana na wakati mfani sidhani kama maafande wa dep miaka ya 80 -90 kama walikuwa wanajivunza somo la haki za binadamu lakini siku hizi ni tumaini langu mtaala huo utakuwa umejumuishwa katika mafunzo yao ili kuweza kukidhi wakati na mambo mengine.
Mwisho kama utahitajika kwenda mafunzo ya ziada nionavyo ni lazima kuwe na refresh kozi mf. Traffic huwa kuna refresh kozi kwa ajili ya kuwaweka sawa hawa mabwana wasiliaibishe jeshi. Ni kama sisi tu mkuu unaweza kila siku kupewa mahubiri lakini mwisho wa siku ukafanya madudu. Mtazamo wangu muda huo ni muafaka kwani hakuna la ajabu sana katika nchi yetu ambalo litahitaji kuwaweka watu kwa muda huo.
Ni kweli matrafiki wengi hawajui kuendesha hata pikipiki sijui hii imekaajeArnold...hao matraffic wanashindwa uelewa hata na nadereva wa VETA na NIT...kwanza wengi hawajui hata clutch ipo wapi na alama za barabarani ni kama kichina kwao
Sio kweli mkubwa, hakuna cha kozi maalum wala nn hawa wanacheza kwata kisha darasani miezi sita wamemaliza, matrafiki nawaona wanateuliwa tu na kutolewa hakuna kozi wala mafunzo. Kama unabisha nitakupa ushahidi ukiuhitaji, polisi hovyo.
Wadau naomba mchango wenu ..
Je muda wanaoutumia kutoa mafunzo ya askari polisi kwa miezi sita pale CCP unatosha?
-Lini utajifunza uraia na human rights
-Lini utajifunza Law
-Lini utajifunza ukakamavu
-lini utajifunza mbinu na medani za kijeshi za kukabiliana na adui na uhalifu?
-Lini unachunguzwa kama ukikabidhiwa silaha hutaleta nayo madhara?
-Kubwa zaidi ni lini utaenda field kupractise kazi yako before employment? au kujiunga CCP ni already employed
Nakumbuka walioenda National Service kwa mujibu wa Sheria ilikuwa mwaka mzima solid sasa hii ya polisi mhhhh
Hebu tuichambue hii kama ina tija!
ha ha ha !what about jeshi la magereza?
tunawajua waliokuwa sio traffic wakaloby na kuvishwa magawanda meupe bila kozi yoyotetafadhali naomba prrof ya usemayo!
kila askari anayeteuliwa traffic anaenda mafunzo ya trafic either zenji ama ccp moshi...inapotokea ukakuta askari ambaye hajaenda mafuno hayo na anafanya kazi hiyo,
mostly ni emergency case na whenever course hiyo itakapotangazwa ataenda...idadi ya askari ni ndogo kuliko mhitaji....
ongea FACTS sio ushabiki!!!!
Sita inatosha mkuu, tatizo ni kuwa wanapopangiwa vituo vya kazi hawa jamaa wanasahaulika kabisa mpaka wanachaka nje ndani, hakuna refresher kozi wala upgrade! Hivyo anabaki kukariri yale aliyojifunza miaka nenda rudi. Kuwe na utaratibu wa ku -upgrade ili wawe conversant na mambo mapya yanayolikabili jeshi....Kingine kujuana kwingi ndani ya polisi, hupandishwi cheo mpaka kamishna ahongwe,,,na mpaka hongo imfikie kuna watu kibao hapo kati> sasa unategemea nini kama sio kukata tamaa na kuwa na hasira na waandamanaji wanaoandamana kwa amani kudai haki hata kama ni haki ya kumtetea askali mwenyewe!.