Gudasta
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 627
- 1,153
Simu yangu ya Samsung s6 ina matatizo yafuatayo, naomba msaada kwa fundi au mtu anayeweza kutengeneza:
1.Ina jirestart mara kwa mara
2.Sometimes ninapoiwasha inaonesha rangi ya kijivu kwenye screen yote kwa Hilo huwezi kufanya chochote
3.Inastack mara kwa mara.
Naomba msaada nifanye nini ili niweze kuitumia simu yangu tena.