Jamani jamani jamani mafundi wa Bongo semeni tu sisi hatujui ila tuna copy na ku paste na kuiga Youtube tu na at least kw cm za androids au pc za windows lakini mi mtu inajijuta mafundi tena pc za Apple which are very complicated;
Yanaomba hela yanakula then pc hawajui kutengeneza unabaki na triple hasara; huu umaskini ndo unatufanya tuishie kwa hawa mbwa; ila yanakera sana. Kariakoo yote yamejaa kila kona na duka but asilimia 2% tu ndo wanajua wanachofanya ndo maana kila dakika utakuta fundi mwingine kaja na tatizo anaomba msaada.😩😩😩
Imagine doctor Muhimbili anafanya upasuaji kisha njiani anakimbia na mwili Aga Khan kuomba msaada
Ovyo ovyo ovyo haya majitu iwe kkoo, Makumbusho, Mwenge God knows wap mengi zero brain tu.
Bora muuzege vitu tu na muache ufundi kwa watu wenyewe sio majitu ya kuotea otea tu Manina. Semeni hamjui tu manina. Oh kesho mara baadaye mara kesho; mnachefua sana.
As far as i was kearning electronics troubleshooting, if you reach a point that you can't discover the nroblem you have to refer your customer to a more advanced technician.
Asking the fellow techcian is one of the step in electronic repair and troubleshooting when things become "blue", so don't afraid, it is usual for technician.
The good of dictors they work as a team during their complicated procedure and they have a room for referal. Ukisikia ving'ora vya ambulence ujue ndio sawa na huyo fundi, yaani mgonjwa anahamishiwa kwa mabingwa zaidi.
Katika ufundi kuna section au segment ambayo inaitwa
Documenting the solved problem. Hii inasaidia fundi kurejea mbinu iwapo tatizo limejirudia, hivyo basi kumuuliza fundi jirani ni sawa huenda ana solution ya tatizo.
Ngoja nikwambie mafundi wetu hapa hawajasoma electronics hivyo wana solve common problems. Zikija complicated case/ problems wanashindwa kwa sababu hawana skillset za advance electronics troubleshooting.
Jibu lao la mwisho huwa mother board sakiti imeungua.
Kuna dogo namfahamu alitoka kijijini kwao akajaa kwa fundi aliesoma veta akajaa miezi kadhaa baadae akaachiwa office. Juzi nimeenda nimekuta kahama.
Ni hivi mafundi hawataki kusoma foundition ya electronics system wanataka short cut waanze kupata hela fasta.
HUMU HUMU JF HUSIFIA MAFUNDI WA MTAANI, kwa hio mvumilie tu.