Mafundi upande wa hardware tukutane hapa

Lelon Mush

Member
Sep 16, 2019
64
15
Nina Tecno w3 na inapata moto na inaisha chaji ndani ya dakika 15 nimebadili betri bado mambo ni yaleyale nifanyaje?
 
Mi sio fundi ila kwa mawazo yangu mara nyingi issue hiyo hutokana na battery kama umebadili battery na bado bac simu imezidiwa uwezo inaweza kuwa na vitu vingi vinavyo kula sana charge processor za mediatek hazina power ya kuendesha vitu vingi hata swala la utunzaji charge ila ngoja wataalamu watakujuza kwa kukusaidia unaweza fanya factory data reset kisha usiweke vitu vingi hasa game mediatek inachemka sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom