Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,271
- 96,398
Gari gani??Unatakiwa kuhudhuria hapo, kama sio wewe basi MTU wako wa Karibu sana. Mie nipo site mpaka kinasomeka. Mifuko IPO kwenye Gari natoa mmoja mmoja, ikiisha unajua imeisha.
Gari gani??Unatakiwa kuhudhuria hapo, kama sio wewe basi MTU wako wa Karibu sana. Mie nipo site mpaka kinasomeka. Mifuko IPO kwenye Gari natoa mmoja mmoja, ikiisha unajua imeisha.
Afu hiyohiyo michache bado unakwiba???Maboss mnazingua unaambiwa leta mifuko 20 unaleta 15
pole ulikuwa ukijenga kwa simuAchaa jamaa awatie nakozi tu maana hamna namna, kibanda changu kimeishia njiani kisa hao, room tatu za kulala katumia mifuko 100 ya cement!!!
Amekupora ama umempa mwenyewe. Usimamizi wako sio mzuri mpaka fundi anakuibia cement.Hi great thinkers.
Leo mchana nimejikuta namtamkia fundi uashi nanukuu "hivi wewe una laana?" akanijibu mbovu nikampa vitasa kadhaa mdomoni. Hivi sasa kavimba mdomo eti kaenda kunishitaki nimemvimbisha mdomo Kwa ngumi.
Tatizo kala 3/4 ya pesa yote halafu anakuja site anashinda kilabuni. Cement kila mara anakuja eti imeisha kumbe anauza.
Si chini ya mafundi wanne wameniliza
Leo mbwaimbwai nitahakikisha uso unachakaa.
Hivi huwa wana laana?
Mi siwaelewi.
Safi naona umeamua kujitangaza kutumia nafasi hiiNikweli kabisa mtoa mada anachokizungumza sababu kubwa nikutaka urahisi wa bei na hofu na Mafundi wazuri, Hili ndilo lilonifanya mm km Fundi wa ujenzi kuanzia msingi mpaka ufunguo nikawa na wazo nikawashilikisha wenzangu tumeanzisha Chama tunchotarajia kukizinduwa mwakani ili kila anayetaka kujenga popote Tz atampata Fundi mwaminifu na bora kupitia chombo hicho kitakachotambulishwa mwakani na kitamsimamia Fundi kisheria hivyo mafundi wajanja wajanja hawatakuwa na nafasi kabisa.
![]()
![]()
0788606076
Brother hata hao wengi wao m naona hawajielewi,nimefungua saloon yangu maeneo ya songea,lakini kila kijana ninayemweka anakuja kwa mbwembwe kazi anafanya lakini uongo na ubinafsi mwingi haleti pesa.sina iman na vijana hawa hasa eneo hili utafikiri walizaliwa pamoja.kazi nzuri ukiweza Fanya mwenyewe kama Mungu amekupa kipawa hichoFundí mkweli Kinyozi
Mwingine eti imefika siku ya marejesho eti Dada anaumwa alafu hajatokea kaziniFundi Mwashi Fundi seremala hawa sijui wana nini ni shida tu aliyewalaani wao ndiyo wanajua na ndiyo mabingwa wa kusingizia majanga utasikia anakwambia nimefiwa nimeuguliwa yaani sababu ni nyingi mno
Kinyozi ni fundí kunyoa.Tangu lini kinyozi akawa fundi?
Kumbe, basi hata wapaka rangi kucha ni mafundi.Kinyozi ni fundí kunyoa.
Si kila akikabidhiwa mashine na kuwekwa salón anaweza kunyoa ule ni ujuzi. Unanipa pesa unapendezeshwa papo hapo, sawa na usual.
Ni mafundi, ila ufundi wao wakafanye kwa wake zao na wapenzi wao.Kumbe, basi hata wapaka rangi kucha ni mafundi.
We jamaaa nishushe kimara mwisho kabla basi halijafika mbaliAchaa jamaa awatie nakozi tu maana hamna namna, kibanda changu kimeishia njiani kisa hao, room tatu za kulala katumia mifuko 100 ya cement!!!
Afu unaivaa inakupwaya maana alikupima mnene pilikapilika za Harusi ukapungua burudanijeeeeeMafundi wote ndo walivyo, sitomsahau fundi nguo niliyempa oda ya suti ya harusi miezi mitatu kabla halafu nguo nikakabidhiwa siku ya tukio asubuhi, hapo baada ya mikwara ya kutosha
Ni ma free masson. Hao ni wajenzi huru kwa kuwa hawajaajiriwa na mtu. Wanabangaiza. Sasa tatizo mnalokosea, kuwaamini na kuwarundikia vifaa, ama kuwatuma kwenye manunuzi!Fundi Mwashi Fundi seremala hawa sijui wana nini ni shida tu aliyewalaani wao ndiyo wanajua na ndiyo mabingwa wa kusingizia majanga utasikia anakwambia nimefiwa nimeuguliwa yaani sababu ni nyingi mno