Mafundi uashi wana laana?

Mafundi uashi wana laana?

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2013
Posts
942
Reaction score
567
Hi great thinkers.
Leo mchana nimejikuta namtamkia fundi uashi nanukuu "hivi wewe una laana?" akanijibu mbovu nikampa vitasa kadhaa mdomoni. Hivi sasa kavimba mdomo eti kaenda kunishitaki nimemvimbisha mdomo Kwa ngumi.

Tatizo kala 3/4 ya pesa yote halafu anakuja site anashinda kilabuni. Cement kila mara anakuja eti imeisha kumbe anauza.

Si chini ya mafundi wanne wameniliza
Leo mbwaimbwai nitahakikisha uso unachakaa.
Hivi huwa wana laana?
Mi siwaelewi.
 
Maboss mnazingua unaambiwa leta mifuko 20 unaleta 15
 
Ndio uuze cement?
Mimi ndo sipendagi mambo haya ya kununuliwa materials na boss, nkija site kwako nakupigia total materials and cost plus na hela yangu ya kazi. Then nanunua hayo materials as per estimation afu wewe unakua na store keeper wako kuhakikisha kilichokadiriwa ndo kimenunuliwa then unanilipa pesa yangu, ndo raha ya kufanya kazi na mafundi wenye mitaji yao na taaluma zao.Mtafute Fundi Wa namna hii hakika hutojutia
 
Mimi najenga Kwa kuunga unga halafu unauza cement unajua pesa nilivyozipata?
 
Hi great thinkers. Leo mchana nimejikuta namtamkia FUNDI uashi nanukuu "hivi wewe una laana?" akanijibu mbovu nikampa vitasa kadhaa mdomoni.Hivi sasa kavimba mdomo eti kaenda kunishitaki nimemvimbisha mdomo Kwa ngumi. Tatizo kala 3/4 ya pesa yote halafu anakuja site anashinda kilabuni.Cement kila Mara anakuja eti imeisha kumbe anauza Mae. Si chini ya mafundi wanne wameniliza Leo mbwaimbwai nitahakikisha USO unachakaa.Hivi huwa wana laana? Mi siwaelewi.
Chakaza mbaba maana hakuna namna na kuna wale mafundi nguo dooh
 
Mimi najenga Kwa kuunga unga halafu unauza cement unajua pesa nilivyozipata?
Ujenzi Wa kuungaunga ndo changamoto zake, mafundi wezi sana na wako very smart katika mambo haya........Nikushauri hivi, kwa huo ujenzi wako Wa kuunga hakikisha kila step utakayokua unataka kupiga unakuwa na muda pia Wa kuwepo site, na jitahidi mafundi wawepo Wa kutosha ili kusave time ya wewe kuwepo site.
 
Sasa unataka na fundi aunge unge maisha?Tatizo lenu mafundi wazuri na wasio wasumbufu mnawakimbia kwa kisingizio cha bei.Mnafuata wanywa gongo ndio matokeo.Bei rahisi jiandae kuibiwa materials mpaka uombe po!Mfano huyo wa room 3 kwa mifuko 100.Hebu tafuta fundi mzuri ila kubaliana naye vizuri usisahau kumwambia kama unajenga kwa kuunga unga ili mpange awamu za ujenzi na malipo yake.Hakikisha pesa ya kazi inayo baki kwako ni nyingi kuliko kazi yenyewe na umalize kwa wakati kila awamu ikikamilika.Hutaibiwa cement tena mkuu.Achana na wanywa gongo watakuua kwa preasure
 
Pole sana, mafundi wezi sana. Wameniliza mimi hata sina hamu nao. Halafu wengine wakiuza hayo material wanaishia kulewa tu....yaani hovyo kabisa
 
Achaa jamaa awatie nakozi tu maana hamna namna, kibanda changu kimeishia njiani kisa hao wapumbavu, room tatu za kulala katumia mifuko 100 ya cement!!!
Unatakiwa kuhudhuria hapo, kama sio wewe basi MTU wako wa Karibu sana. Mie nipo site mpaka kinasomeka. Mifuko IPO kwenye Gari natoa mmoja mmoja, ikiisha unajua imeisha.
 
Ujenzi Wa kuungaunga ndo changamoto zake, mafundi wezi sana na wako very smart katika mambo haya........Nikushauri hivi, kwa huo ujenzi wako Wa kuunga hakikisha kila step utakayokua unataka kupiga unakuwa na muda pia Wa kuwepo site, na jitahidi mafundi wawepo Wa kutosha ili kusave time ya wewe kuwepo site.
Mimi ni mtumishi muda mwingi nakuwa job ndo chance ya kunitia hasara pesa yenyewe ninekopa bank nipate Kwa kujihifadhi na wanangu halafu unaleta uhuni wa kijinga akipona nampasua tena makusudi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom