Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Wakuu habari zenu,nina samsung j3 kikoo kimeharibika,naombeni kujua garama
 
Anaye fahamu Samsung on j7 anifundishe maujanja kama unafahamu bei yake na ubora, maana kwangu ni toleo jipya usoni kwangu, msaada tafadhali.
 
mwenye kioo full cha note 2 GT-7100 anicheki nimpe hela ya sikukuu chap
0713558111
nipo dsm
 
Msaada mwenye kioo cha samsung j3 anaweza nisaidia,au dukani naweza pata kwa ngapi?
 
Naomba mwenye display ya itel s31 anifuate pm au namba 0755956211... Chap wakuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom