Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

changamoto nyinge ni kupata mita origanal

mm nilisha bahatika kupata mita moja ya ukweli sana inatwa.
fluke 179. made in america.
c703806f795ff1c525d0c25c771b5eb4.jpg
Mita yyte poa tu kikubwa ujue kuitumia. Mkuu or
 
Fundi mwenzangu kama ofisin kwako unachajisha na simu hakikisha mteja kabla hajaondoka chaji inapeleka moto ama simu inawaka ndipo umruhusu mteja aondoke.



Limetokea hili kwangu mara mbili simu haiwaki alafu mteja anakuja anakuambia simu imeisha chaji naomba nichajie huku anajifanya anaharaka.


TUZINGATIE
Kwli kabsa
 
Mafundi nauliza,Nataka kubadili screen yote na Cover la nyuma la iphone 4S je inawezekana kwa shiling ngap?
 
Mama Maulizo display ya Sony Experia m5 aqua na display ya Samsung Galax j1 bei gani
 
Nahitaji kubadili sim card reader kwenye Sony Xperia Z2 Je Kuna fundi humu anayeweza?
Weka bei yako na Sehemu ya kukupata mimi nipo Dar
 
e3cebc131c34143e9a007de6fb22ed29.jpg
30ada15f775b99511053d975bea6d618.jpg


na hizi ni baadhi kazi ngumu ambazo nimewahi kuzifanya.
mkuu Nina kasimu Ka tech w3 inaonekana ina chajisha lakini chaji haiongezeki.
Inaweza kuwa na 6& ukachaj Massa manne ikabaki vile vile.
Nimejaribu kuweka betri nyingine hali Ni hiyo hiyo.
Hapo shida inaweza kuwa non kabla Fundi hajaitia mkononi?
Nina guess labda ni charge system (ile port ya kuchajia tukibadili itakaaa sawa .

nipo sahh?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom