Mafundi cherehani bora duniani

Mafundi cherehani bora duniani

2k Genius

Member
Joined
Feb 27, 2011
Posts
88
Reaction score
9
FUNDI WA KWANZA;ninaweza kushona suti nzuri na ikamtosha nikimuona anapita kwa mbali...
FUNDI WA PILI;hiyo si kitu kwangu,mi naweza kushona suti bora kabisa nikimwona mtu anakatiza kwenye kona na nisimwone tena..
FUNDI WA TATU;nyie ndo mnajisifu kuwa ni mafundi!!!hamuwez kitu,kwan me naweza mshonea mtu suti bora hata kwa kuona tu kona aliyopitia bila kumuona yeye...
 
watatu mkweli.suti hiyo itamtosha yeyote atakayepitia kona hiyo...
 
Hao mafundi wana akili kama za wabunge wa magamba
 
hawa ndio mafundi charahani wa kuitengeneza charahani pale inapoharibika. Nalog off
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom