Mafumbo ya Nape Nnauye Twitter hayaonekani Tena, sababu Nini?

Ameanza kudhulika na lile gori la mkono
Toka aombe na kupewa msamaha sijaona Tena ujumbe wowote kutoka kwa Nape Nnauye hukoTwitter wenye mafumbo kutoka kwa huyu mwanasiasa, tatizo ni nini, au hiyo likuwepo kwenye kitita Cha msamaha?
 
Back
Top Bottom