Vipi kuhusu ile gari aliyokabidhiwa mbowe ya kiongizi wa kambi ya upinzani bungenu(kub)nikumbushe ilikuwaje akairudisha kwa madai kwamba ni matumizi mabaya ya fedha za umma ,
Mala tukasikia kaenda kuichukua tena baada yakubadilishiwa na kupewa mpya.kumbe tatizo halikuwa matumizi mabaya bali ni uchakavu wake!hahaahaaa siasa bwana!
Mwambie nae makengeza mbowe nae aweke makala yake kwenye gazeti lake la tanzania daima kama anauwezo huo.Nazani makala itahusu uuzazi wa miili ya dada zetu billcanas.
Mbowe alirudisha gari la kambi rasmi ya upinzani KUB na kisha akachukua kimyakimya.
Mwambie na huyo mmachame mwenzako nae aweke makala yake! acha wivu wa hovyo.
Pamoja na kuwa umekosa adabu sana labda nikuambie tuu kama ulidhani unataka msimamisha Zitto kwa appearance utakuwa umekosea sana.Nadhani ndi maeneo ambayo yatamfanya awe obsessed na watu wengi sana.Kwa ujumla hana hiyo quality.
Pa ujue tayari mmeshavuka mipaka mingi sana ya kibaguzi, mna ukabila,ukanda, udini na sasa mmeanza amia ktk maumbile ya watu.Sijui angekuwa hana miguu ingeuweje?
Bado kwa jinsi mmeamua ingia jumla katika hizi kampeni chafu, na mhusika nae kakiri maendeo kadhaa kwa mambo yahusuyo haya myasemayo,ni wazi kuna baraka zake.Labda tuu niwambie Zitto kwa background yake watu wenye akili walishaondoa matumaini ya kupata mtu hapo tena.Kijana yupo obsessed sana na vitu vingi kiu yake haiyomalizwa na chochote.Finally ataishia kuwa extremist.Na kama mpo this desperate hadi kuamia katika sura.Niseme tuu kwa moyo mweupe Zitto hana sura nzuri n akitamuuma for life, hata miwli wa kiume,na hiyo sifa hatokaa aipate kwa mwananke yeyote ktk ya hao anaokimbizana nao ili ajipe ujasiri kuwa ni mwanamume,na takayemwambia hivyo yeye mwenyewe atajua kuwa vi kuchorwa tuu.Ataishia wachukia wote waliomzimi kwa hilo.
BIllicanas ni Night club nyie wapuuzi, mbona msiwaulize wenye guest house na madangguro ya fasta fasta,mbona msiwaulize akina Komba, akina mudhihiri, asha baraka wa kigoma kama nyinyi, na wengine wenye band wanacheza uchi mitumbo ipo nje?mtakuw ana bouble standards hadi lini?Kweli mwenye laana ni laana tuu.Kama Zitto anabariki huu ujinga mwisho wa siku itabidi ajitume katika jiwe kwa disperations ila si ku derail njia watanzania walioichukua.
Ulikuwa wapi ndugu yangu maana naona ant zitto wamekukurupusha toka mafichoni ulikokuwa umejificha uje uwasaidie huku kujenga hoja dhaifu.msiwe wepesi wakusahau mambo,2009 mlimwambia zitto kwamba amwachie mbowe amalizie kipindi kimoja kwanza
Baada ya hapo mkaanza kumchafua kwamba ni fisadi na anatumiwa na ccm ili kumtengenezea mazingira magumu 2013 .tumeisha shtukia mchezo wenu .
Sasa ni mwendo mdundo tu ,na sasa sio uenyekiti tena maana ashapita hiyo level hivyo hata asipogombea tena wala sitashangaa.
Sasa hivi focus ni presidential position tu.
Ze pumbaaaz!
Mkuu hili Jeshi limeandaliwa kwa muda mrefu zzk hakuwa honeymoon alikuwa field na sasa kaingia kwenye battle field ni siasa m'bovu sana decide them and rule them Dah ccm naichukia kuliko shida
Nimejitahidi kutafuta ni wapi mada kuu imeishia, nimeshindwa kabisa...omg!
Mbowe aliweka vitu right kabisa...kwa Bob kama alivyoweka kwa waanzilishi wengine.Bob alijitolea kwa hali na mali.Sidhani kama CDM ilikuwa na hela hivyo na huyo mumtakaye alikuwa na huo uwezo wa kuchangia kihivyo?Kizuri ni kwamba mnaojibizana nao michango yao ni mikubwa kuliko na kuwepo na nguvu kilicho nacho ni ushahidi kuwa wamefanya kazi kupita vipingamizi vyote.HIzi tabia muonyeshazo hapa zinajengea watu picture kuwa kuna baadhi ya makundi hayana faina ktk mwendo wa harakati positive.Zinajenga picture kuna mkundi ya watu yanahitaji kuja pewa mavuno tuu kama huruma,kwani kipindi cha kupanda na kupalilia wakiwepo hupunguza mazao kama si kuua kabisa.Mna nafasi ya kubadili hii taswira na si kuipandikiza.Ukiona wachaga wameungana ujue kuna maslahi hapo.vp jmushi naona tunamkatisha ulaji boss wetu na mwakani ndo mwisho wenu maana tutafanya operation ondoa wachaga ndani ya chadema maana tumechoka na ubinafsi wetu ndani ya chadema.
Your talking about m4c?movement for chaggaz?vipi zile hela za m4c alizokimbia nazo lema(kibororoni)ooh my God !kwani zitto ni mchagga mpaka ashiriki?haujajiuliza tu kwanini makamu mwenyekiti bara mh arfi haonekani m4c?mwenyeji wa nyanda za juu kusini mkoa wa rukwa.
kusoma hujui hata picha tu hujaiona bado?
Kwanini nafasi ya kiutendaji na uenyekiti wamejipa wakaskazini pekee?hujaona tu?
na mbona hamumzungumziagi arfi?kwamba ni mamluki kwakuwa hashiriki m4c?zitto na arfi nani ana nafasi ya juu zaidi?hata picha huoni tu?
Hahahaa!au kwakuwa arfi hajaonyesha interest yoyote yakiuongozi?hajagusa maslahi yenu yakikanda?
Zitto kweli amewaweza.
Poleni sana mwarobaini mchungu lakini unaponyesha.
kama kafikia hapa basi anasubiri stage ya kushangaza..au role model wenu ni Sepetu?Mna role model wengi.
Ni wapumbavu tuu ndio waingiapo sehemu ahadi zao za kwanza ni wengine waondoke na si wao wafikie malengo ya kuleta mafanikio.Kwanza nyie ndio wakabila na wadeni kupindukia, sijawahi sikia mchaga akisema anaenda watoa kabila ingine.Yeye huweka nadhiri kuwa naenda tafuta maisha.Luckily wanamake it.Taratibu napata fahamu kwanini wanafanikiwa miongoni mwa hostile group of people.
Kama mwenyezi Mungu kapanga hamna ujanja.Kwani huu upuuzi wa kupambana na mtu haukuanza kwenu ,ulianza kwa wazazi wenu.Kwani wameawaachia nini katk maisha.Pengine ni uchawi na huu ujinga.
Pamoja na kuwa umekosa adabu sana labda nikuambie tuu kama ulidhani unataka msimamisha Zitto kwa appearance utakuwa umekosea sana.Nadhani ndi maeneo ambayo yatamfanya awe obsessed na watu wengi sana.Kwa ujumla hana hiyo quality.
Pa ujue tayari mmeshavuka mipaka mingi sana ya kibaguzi, mna ukabila,ukanda, udini na sasa mmeanza amia ktk maumbile ya watu.Sijui angekuwa hana miguu ingeuweje?
Bado kwa jinsi mmeamua ingia jumla katika hizi kampeni chafu, na mhusika nae kakiri maendeo kadhaa kwa mambo yahusuyo haya myasemayo,ni wazi kuna baraka zake.Labda tuu niwambie Zitto kwa background yake watu wenye akili walishaondoa matumaini ya kupata mtu hapo tena.Kijana yupo obsessed sana na vitu vingi kiu yake haiyomalizwa na chochote.Finally ataishia kuwa extremist.Na kama mpo this desperate hadi kuamia katika sura.Niseme tuu kwa moyo mweupe Zitto hana sura nzuri n akitamuuma for life, hata miwli wa kiume,na hiyo sifa hatokaa aipate kwa mwananke yeyote ktk ya hao anaokimbizana nao ili ajipe ujasiri kuwa ni mwanamume,na takayemwambia hivyo yeye mwenyewe atajua kuwa vi kuchorwa tuu.Ataishia wachukia wote waliomzimi kwa hilo.
BIllicanas ni Night club nyie wapuuzi, mbona msiwaulize wenye guest house na madangguro ya fasta fasta,mbona msiwaulize akina Komba, akina mudhihiri, asha baraka wa kigoma kama nyinyi, na wengine wenye band wanacheza uchi mitumbo ipo nje?mtakuw ana bouble standards hadi lini?Kweli mwenye laana ni laana tuu.Kama Zitto anabariki huu ujinga mwisho wa siku itabidi ajitume katika jiwe kwa disperations ila si ku derail njia watanzania walioichukua.
Poor boy...nashukuru kwa kuleta hizi pics....these pics tell much about whats going on this poor boy`s mind.Ningeweza mwona Wema kabla ya hii siku ningemwomba akipige sach na kukiamuru kiandike blank Cheque.Kujipima na wanaume wa kweli shida.Mwanaume gani unakuwa kama kasungura kwa demu?Kujipima na vilivyowazidi.Wanume dhaifu hujiongezea shida kijinga sana.Sasa alidhani analipa walichofanya wengine, sasa huu ufupi,hiyo sura kama analilia, kimwili dhaifu hivi kwanini mwisho wa siku asitoke na hasira badala ya furaha..?Next day akisikia kaingia asiye na hela,wala cheo, wala umaarufu alikuwa na naight nzui zaidi au demu anamtaja live ktk majambozii.Si ndio hizi shida tunapata ktk harakati...iam telling you live this poor boy is deep trouble psychologically.
We una hakika gani kuwa mimi ni m-machame?Mi nimuonee wivu huyo alikutuma kwa lipi zaidi ya kinyaa.Wivu mkaambiane huko palipo gizani.HIzi ni defense za watu duni katk tamaduni duni.
Sasa wachaga wameamua kutafuta kwa kuwalaghai watanzania.