Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,845
Asante sana mkuu,sawa🙏Treatment
Mafua hayana dawa ila Kuna symptomatic treatment na non pharmacological treatment
Symptomatic treatment utapata ukienda kituo Cha afya
Kunywa hot drinks
Light diet
Pumzika (bed rest)
Funika mdomo wako ukikohoa kupiga chafya au kucheka Ili usieneze Kwa wengine
😀 😀 😀 najua utakuwa umepona sasa; achana na saundi zangu; Tatizo likizidi unione mimi daktari bingwa.😳Wacha wee
hahaah hapa niko na speed kama yote scania inakimbia kama mchomoko, namuwahi mgonjwa wangu jamanNimecheka jamani...nimesahau na ugonjwa

Ungekuwa karibu ningekuja fasta; au pata kahawa ya moto itasaidia kuondoa hilo tatizo kwa mudaSawa👊
Mbeya sehemu gani, kesho nitie timu mapema 😀 😀Wewe Leo hujato.....? Eti? Naona unamihemko kweli🤣🤣🤣🙆
mwambie @equatin x aache mbwembwe mimi nina wivu sana, nitampiga risasi! Namtazama tuKweli bhana,nisije nikafa na usweet wangu

Kimbia kimbia ruka kamba yanayeyuka kama majiSawa wangu, Asante sana ♥️
😀 😀 umeshindwa kumkandamiza mpaka anakuja kulia lia huku akitafuta dawa ya mafuamwambie @equatin x aache mbwembwe mimi nina wivu sana, nitampiga risasi! Namtazama tu![]()
Ndo najitahidi kumkazia sijui kama atanielewa...maana inaonekana anaupwiru balaa Equation xmwambie @equatin x aache mbwembwe mimi nina wivu sana, nitampiga risasi! Namtazama tu![]()