Ukiinama kizembe kamasi hiloo
Kitamba kisikae mbali na mkono
Ukiwa kwenye mazungumzo inatakiwa utazame juu zaidi ya 90° vinginevyo kamasi linaporomoka
Usisogee karibu na moto/jikoni vinginevyo kamasi litatia timu mbogani (iwe siri yako lakini)
Usiombe hili tatizo (mafua) likupate ni shida!!
To yeye jiandae kupokea kikohozi maana hawa jamaa ni mapartner!
Tena usiombe ukutane na kikohozi kile standard (kinapatikana afrika tu

)
Yaani ukikohoa lazima kila mtu akutazame, maana watahisi umelipuka!
Kama una mafua peke yake; dawa ya uhakika ni maji, chukua maji chemsha, kanda paji la uso ukienda kulala ni siku 2 tu, ya tatu finishing
Limao ni dawa kwa wachache sana!