Mafriji used yanauzwa

Mafriji used yanauzwa

ushauri wangu tu. Angalia power consuption. Friji nyingi used huwa zinatukia umeme mwingi . unaweza nunua friji kwa bei rahisi rakini ukailipia kupitia umeme. Ushauri wangu ni huo tu.
 
Umeme wa kibongo ni matatizo sana, angalia kwenye hizo fridge zangu zote zimekuwa tested kabla ya kuzileta
 
IMG-20160628-WA0003.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom