Katibu Tarafa
JF-Expert Member
- Feb 16, 2007
- 989
- 59
- Thread starter
- #21
Asante
Yap, American fridge and freezer. Used sh ngapi?Una maanisha America fridge freezer
Bei inapungua?Laki 6
Mkuu naweza Pata zile fryer kubwa za gesi za kupikia chips, na kama zipo bei gani?Nauza fridge, oven
Sawa mkuu niangalizie then nisaidie jibuZipo, nilikuwa nayo moja, ngoja nitaiangalia, nitakupa jibu
Inavyoonekana ni kama kodi imekwisha na mweye pango ametoa bidhaa zake nje vile... Muungishe hapo hata friji mdau akwamuke...Mkuu mbona utunzaji sio makini? si yanazidi kuwa used?