Mafriji used yanauzwa

Mafriji used yanauzwa

IMG-20160619-WA0019.jpg
 
Je una fridge ambalo chini Lina freezer, juu ni fridge kawaida na unauza bei gani?
Nipo Dar naomba mawasiliano
 
Habari wana jmf.
Nauza commercial fridge2 boss na bruhm ni show case nakila moja inabeba lita450 za bidhaa, friji nilizinunua dukan mwakajana 2016 mwezi wa 4 zikiwa mpya na zote zina VAT receipt,
Hazina tatizo lolote tangu nizitumie dukani kwa miezi7 sasa, naziuza zote mbili

kwapamoja kwajumla ya 1400,000/= nilizinunua kwajumla ya 2200000/=dukani kkoo.
Mimi napatikana kwa namba 0654411800 nipo mtoni mtongani kibiashara nakimakazi nipo kongowe mbagala.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom