Mafisadi yashangaa nyumba ya kwao na Lissu

Mafisadi yashangaa nyumba ya kwao na Lissu

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
15,043
Reaction score
18,751
Lissu sio mtu wa makuu wa kujikweza kama wakina Lema kwa conection alizonazo Lissu angeamua kuomba misaada ya kujengewa nyumba nyingi za kifahali lakini wanachosahau Lissu sio mtu kuomba Sasa mafisadi yanashangaa hii nchi iliyojaa mafisadi lazima kushangaa nyumba ya kwao na Lissu Kitu kingine cha kushangaza wangekuta Lissu kajenga nyumba ya kifahali kwao wangesema pesa za mabeberu au Tone tone sasa Mafisadi yamekosa cha kusema yapo yapo tu Yamesahau yalimyima stahiki zake na yalimfukuza ubunge Upumbavu ni kipaji
 
Lissu sio mtu wa makuu wa kujikweza kama wakina Lema kwa conection alizonazo Lissu angeamua kuomba misaada ya kujengewa nyumba nyingi za kifahali lakini wanachosahau Lissu sio mtu kuomba Sasa mafisadi yanashangaa hii nchi iliyojaa mafisadi lazima kushangaa nyumba ya kwao na Lissu Kitu kingine cha kushangaza wangekuta Lissu kajenga nyumba ya kifahali kwao wangesema pesa za mabeberu au Tone tone sasa Mafisadi yamekosa cha kusema yapo yapo tu
Wezi na mafisadi hao
 
Lisu kawa mbunge miaka 10,mshahara na posho pamoja na kiinua mgongo vilitosha kujenga nyumba ya kifahari kwao.
 
Tunasahau kuwa duniani tunashi na tutakufa hatutaondoka na chochote zaidi ya jeneza na sanda

Baba yangu alipokufa wakati tunamfukia ndio niliona pesa na mali sio chochote hapa duniani

Imagine aliondoka na jeneza tu la laki 8
 
Shujaa Mandela ume wai kuona nyumbani kwao.

Hakika wazalendo Huwa wanaishi simple hawana complications kama nyinyi WAZEE WA LAKI SI PESA.. NDEMBENDEMBE

Shujaa Nelson Mandela hakuwa na Kitambi kama cha mhe Tundu Lissu ndiomana tunatatizika kujua pesa za Ubunge miaka 10 kupeleka wapi !!!
 
Attachments

  • IMG_20261111_081342.jpg
    IMG_20261111_081342.jpg
    123 KB · Views: 1
  • HWx0E02WwAA-Scw.jpg
    HWx0E02WwAA-Scw.jpg
    77.1 KB · Views: 1
Acha kusifia ujinga,

Ndo maana wachaga wanaawaaacha mbali,

Familia ingejenga hata nyumba ya 50M tu kupahifadh kwao.

Yeye, Lissu amekuwa mbunge wa siku nyingi ameshindwa hata kujenga nyumba ya 2 rooms tu.

Zama za kuonekana maskini ndo unaipenda nchi zimepitwa.

Wekezeni kwenu, na wewe uwe na jengo wako decent.
 
Tunasahau kuwa duniani tunashi na tutakufa hatutaondoka na chochote zaidi ya jeneza na sanda

Baba yangu alipokufa wakati tunamfukia ndio niliona pesa na mali sio chochote hapa duniani

Imagine aliondoka na jeneza tu la laki 8
Kwa iyo bora uishi kwenye kijumba cha matope, kulala chini kwa sababu tu utakufa na kuacha kila kitu?
 
Shujaa Mandela ume wai kuona nyumbani kwao.

Hakika wazalendo Huwa wanaishi simple hawana complications kama nyinyi WAZEE WA LAKI SI PESA.. NDEMBENDEMBE
Huyu lisu aliekuwa mbunge mwenye mshahara zaidi ya milioni 10 kwa mwezi, bado posho na bado michango ya manyumbu ndio mzalendo?
 
Attachments

  • 20250527_200315-1.jpg
    20250527_200315-1.jpg
    26.6 KB · Views: 1

Similar Discussions

Back
Top Bottom