Mafisadi mwaka huu watafute pakujificha Lazima wafungwe.

mjepo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
4,913
916
Wale mafisadi wajiapnge mahakama ya mafisadi inakuja Lowasa na kundi lake wajipnge.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    97.4 KB · Views: 450
Watanzania walipjitokeza hapo wanaimani sana na magifuli mafisadi ndiyo mwisho wao.
 
Tuanze na wale wa ESCROW, pia msimsahau Mkapa na wengine wote

Fisadi namba moja hapa tanzania ni Lowasa ajiandae lazima achezee kichapo mahakama itakuwa tayari mapema kabisa.
 
Fisadi namba moja hapa tanzania ni Lowasa ajiandae lazima achezee kichapo mahakama itakuwa tayari mapema kabisa.

Mmmekaririshwa ........ mlisharuhusiwa muende mahakamani msite kuta Mwenyekiti wenu ndo Papa!
 
Lowassa kweli kiboko! Yaani anahitaji aje Rais mpya, aanzishe mahakama maalum, ndio akamatwe na kushtakiwa? Kwani sasa hivi hakuna mahakama? Hakuna PCCB? Hakuna polisi? Hakuna DPP? Please CCM, msitufanye mazuzu kiasi hicho.
 
Wale mafisadi wajiapnge mahakama ya mafisadi inakuja Lowasa na kundi lake wajipnge.
Kwani mda wote walikua wansubiri nini?
Mahakama hazikuwepo au zilikua zinamsubiri Magufuli ndio zifanye kazi?
Mfumo wa mahakama si tokea uhuru na maraisi wamepita watattu tayari hazikufanya kazi kwa nini?
Au Magufuli anamiujiza gani sasa?
Au ndio ndio mnafikiri mnadanganya Malofa na wapumbavu?
Hadanganywi mtu na mifumo yenu ya kulinda mijizi.
 
Hakuna mahali salama pa kujificha mafisadi zaidi ya CCM usalama wa mafisadi na kichaka cha kujificha mafisadi ni CCM

Ukiona kiongozi mwenye tuhuma za ufisadi ana ondoka CCM huyo siyo fisadi,mafisadi halisi wana banana humohumo CCM kwenye usalama wao.
 
Wale mafisadi wajiapnge mahakama ya mafisadi inakuja Lowasa na kundi lake wajipnge.
Mkuu ufisadi ndio uliomfanya mkapa aiweke heshima yake kando na kuanza kuporomosha matusi.unacheza na gerezani nni?
 
Back
Top Bottom