Pamoja na yote yaliyosemwa, hizi picha zinatueleza mambo mengi sana. Yaani tunafakamia ma vyakula bila kujua kuwa too much of something is harmful. Bado tunadhani kuwa unene na vitambi ndo afya. Huyu mama anawakilisha watu wengi wa nchi (hasa wale wanaokula kwa niaba ya wengine) jinsi walivyo na hali mbaya sana kiafya...
Tunahitaji kubadilika na kuwa na mtanzamo mpya. Tuwe kama wenzetu wa nchi kama Denmark ambapo kitambi na unene wa kupilitiliza ni aibu!