MAFIA: Mwalimu wa Madrasa alawiti watoto 15

mKUU BSIO MICHEZO YAOOO KA SEHEMU HAWA WALIMU

YAAN UKIWA NA MTOTO MADRASA MKANYE SANA HAYA MAMBOO..SHIDA WAKIFANYIWA WANATISHIWA.....

SHETWANI KAZINI AISEE
 
Nafikiri watu wafundishe dini zao wakiamini kuwa katika hizi dini kuna wanadamu na wanatumiwa na shetani, nimeona waislam wakiutukana sana Ukristo ila wanasahau matukio machafu ya Wadada kubakwa na kufanyishwa biashara chafu Uarabuni, Vikundi vinavyojinasibu kwa jina la Uislam wakiwateka na kuua watu na watoto na kuwabaka na kuwalawiti...

Leo huko mafia kwenye uislamu 99.99% Mwalimu wa MADRASA kabaka na kulawiti watoto 15

Haya matukio ni mengi sana

Je Tuseme ndio uislam?

Binafsi nilishaamua mwanangu nitampa elimu ya Mungu nyumbani kwangu ,nashukuru Mungu kwasasa anayeendesha ibada ya asubuhi na jioni na kuombea chakula ni binti yangu wa miaka mitatu na nusu tu

Malezi na elimu ya Kiroho inaanzia Nyumbani,

Kanisa linaanzia Nyumbani

Tunaishi kwenye kizazi kibaya sana ,hutakiwi kumuamini mtu akutengenezee mtoto wako

Mtoto akitoka shule fatilia nini kimejiri huko shuleni

Wazazi tuwe makini sana kwenye malezi

Bila kusahau matuio kibao ya hapa hapa Nchini...

Tutenge dini na watu wanaochafua dini... Otherwise kila upande una taarifa mbaya sana za upande wa pili..
Takbiir
 
Niipunguza sana imani yangu kuhusu uwepo wa Mungu na jinsi anavyotoa adhabu baada ya kuona viongozi wa dini wanafanya uchafu kama huu na hakuna adhabu wanayoshushiwa kutoka kwa Mungu. Badala yake tunategemea mifumo ya kisheria iliyowekwa na mwanadamu ndio iwahukumu.
 
Nafikiri watu wafundishe dini zao wakiamini kuwa katika hizi dini kuna wanadamu na wanatumiwa na shetani, nimeona waislam wakiutukana sana Ukristo ila wanasahau matukio machafu ya Wadada kubakwa na kufanyishwa biashara chafu Uarabuni, Vikundi vinavyojinasibu kwa jina la Uislam wakiwateka na kuua watu na watoto na kuwabaka na kuwalawiti...

Leo huko mafia kwenye uislamu 99.99% Mwalimu wa MADRASA kabaka na kulawiti watoto 15

Haya matukio ni mengi sana

Je Tuseme ndio uislam?

Binafsi nilishaamua mwanangu nitampa elimu ya Mungu nyumbani kwangu ,nashukuru Mungu kwasasa anayeendesha ibada ya asubuhi na jioni na kuombea chakula ni binti yangu wa miaka mitatu na nusu tu

Malezi na elimu ya Kiroho inaanzia Nyumbani,

Kanisa linaanzia Nyumbani

Tunaishi kwenye kizazi kibaya sana ,hutakiwi kumuamini mtu akutengenezee mtoto wako

Mtoto akitoka shule fatilia nini kimejiri huko shuleni

Wazazi tuwe makini sana kwenye malezi

Bila kusahau matuio kibao ya hapa hapa Nchini...

Tutenge dini na watu wanaochafua dini... Otherwise kila upande una taarifa mbaya sana za upande wa pili..
Hiyo ni tabia ya mwalimu siyo Uisilamu,maana Uisilamu unakataza hata kutembe na mtu mzima asiyekuwa mke wako
 
Kwa watoto huyo jamaa kafuata tu mfano wa Mohammad yeye alimwona Aisha akiwa na Miaka 6. So hakuna tofauti hapo.
 
Inalilah raajun, leo hujawatag na shoga zako mje kunichamba kwa pamoja?

Astaghafilulah hapo ndo akina Munch wa Annabelle huzalishwa. Likija humu linajiita jina la Annabelle kama vile ndo jina litafanya watu wavutiwe na chokoliko toka tupo mdogo anafanywa huu uchafu. Mwanaume timamu huwezi jiita ANNABELLE. Tena hili choko limeona likitumia jina la kike la Kizungu litavutia zaidi. Shetani chafu kabisa linadhalilisha watu weusi.
 
Back
Top Bottom