MAFIA: Mwalimu wa Madrasa alawiti watoto 15

Sijaelewa mkuu. Kwahiyo hao Maostaz nao wanalawiti vitoto kwa bidii ili nao stori zao ziwe nyingi kupita mapadre?
Ungesema kwa uelewa usingeona utofauti wangu na wako

Ila kwakuwa una mihemuko sio shida zangu
 
Wewe pimbi beba tatizo kama linakuhusu wewe unaishi kwenye jamii yenye watu tofauti tofauti ishu siyo nani anafanya the issue ni wanaofanyiwa ni watoto zetu,ndugu zetu wajomba zetu etc.

Wakiharibikiwa hao aharibikiwi padre sijui shehe ostazi mwalimu au nani tunaoharibikiwa ni sisi,kwa hiyo kama mapadri wanalawiti ndiyo iwe sababu ya wengine kulawiti?ficha ujinga wako.
We fala Namaanisha hivi, si kila taarifa ni ya kutoa hadharani

Wewe mama yako akichepuka utatangazia mtaani kuwa mama yako ni mzinzi mbali na kufumaniwa kisa tu unapenda ukweli.!

Nyie mbwa GenZ kuweni na adabu na mipaka

Huyu mtoa mada kwa bandiko lake linaashiria mengi mbali na ujumbe

Sawa si vibaya kuzodoa Kobazi lakini si kwa umajinuni
 
Nafikiri watu wafundishe dini zao wakiamini kuwa katika hizi dini kuna wanadamu na wanatumiwa na shetani, nimeona waislam wakiutukana sana Ukristo ila wanasahau matukio machafu ya Wadada kubakwa na kufanyishwa biashara chafu Uarabuni, Vikundi vinavyojinasibu kwa jina la Uislam wakiwateka na kuua watu na watoto na kuwabaka na kuwalawiti...

Leo huko mafia kwenye uislamu 99.99% Mwalimu wa MADRASA kabaka na kulawiti watoto 15

Haya matukio ni mengi sana
Binafsi nilishaamua mwanangu nitampa elimu ya Mungu nyumbani kwangu ,nashukuru Mungu kwasasa anayeendesha ibada ya asubuhi na jioni na kuombea chakula ni binti yangu wa miaka mitatu na nusu tu
Je Tuseme ndio uislam?

Malezi na elimu ya Kiroho inaanzia Nyumbani,

Kanisa linaanzia Nyumbani

Tunaishi kwenye kizazi kibaya sana ,hutakiwi kumuamini mtu akutengenezee mtoto wako

Mtoto akitoka shule fatilia nini kimejiri huko shuleni

Wazazi tuwe makini sana kwenye malezi

Bila kusahau matuio kibao ya hapa hapa Nchini...

Tutenge dini na watu wanaochafua dini... Otherwise kila upande una taarifa mbaya sana za upande wa pili..
 
Mashekh na maporoko endeleeni kupiga mapigo hayo hayo mpaka wazazi na wafia dini akili
zikae sawa

Tumeshachoka kuwashauri pelekeni matoto yenu kule yakaliwe hamna namna

Sikio la kufa halisikii dawa.
 
Mbona Kuna scenarios zaidi ya buku ya matukio ya walimu wa mafundisho na mapadri kulawiti ?

Wagalatia Wenye chuki shida sana hii mada washaichulia kichukibza kidini wakifurahia na wakitokwa mapovu .

Cheki hizi madudu haya..
IMG_20221007_172026.jpg

Zipo nyingi sana Mcmillan de Maghayo
loose Nut waambie wenzako wakina Yoda na hamis77 Che mittoga nk haya mambo sio ya kuchukulia ushabiki wa kidini na kufurahia.
IMG_20230302_091804.jpg

Tuendelee Au ?
IMG_20220623_102148.jpg

Kwa Leo tuishie hapa
Screenshot_20220524_110825.jpg
 
We fala Namaanisha hivi, si kila taarifa ni ya kutoa hadharani

Wewe mama yako akichepuka utatangazia mtaani kuwa mama yako ni mzinzi mbali na kufumaniwa kisa tu unapenda ukweli.!

Nyie mbwa GenZ kuweni na adabu na mipaka

Huyu mtoa mada kwa bandiko lake linaashiria mengi mbali na ujumbe

Sawa si vibaya kuzodoa Kobazi lakini si kwa umajinuni
Mkuu padre akibaka haipaswi kutangazwa hadharani? Sheikh akibaka haipaswi kutangazwa hadharani? Hayo ni makosa ya jinai

Unatoa mfano wa mama mzazi kuchepuka, hiyo inatangazwa vipi hadharani wakati sio kosa la jinai?
 
Uchafu/Unajisi/Ufirauni/Ushenzi Upo kwenye Tabia za watu, Bila kujali Dini, Kabila, Elimu, Cheo.

Ndo maana hao watu utawakuta kila angle, iwe kwenye uislamu, Ukristo, Usabato, Jeshini, Madaktari n.k.

Tusiamishe magori, kila mtu abebe dhambi zake mwenyewe
 
Mbona Kuna scenarios zaidi ya buku ya matukio ya walimu wa mafundisho na mapadri kulawiti ?

Wagalatia Wenye chuki shida sana hii mada washaichulia kichukibza kidini wakifurahia na wakitokwa mapovu .

Cheki hizi madudu haya..
View attachment 3538470

Zipo nyingi sana Mcmillan de Maghayo
loose Nut waambie wenzako wakina Yoda na hamis77 Che mittoga nk haya mambo sio ya kuchukulia ushabiki wa kidini na kufurahia.View attachment 3538473

Tuendelee Au ?View attachment 3538476

Kwa Leo tuishie hapa
View attachment 3538477
Mkuu mnasemaga ukristo si dini ya Mungu, kwa hiyo matukio haya yakitokea kwenye dini ambayo sio ya Mungu haiwezi kuwa ajabu.
Tatizo ni yakitokea kwenye uislamu ambayo mnasema ni dini ya kweli ya Mungu
 
Mkuu padre akibaka haipaswi kutangazwa hadharani? Sheikh akibaka haipaswi kutangazwa hadharani? Hayo ni makosa ya jinai

Unatoa mfano wa mama mzazi kuchepuka, hiyo inatangazwa vipi hadharani wakati sio kosa la jinai?
Sijasema si kosa

Bali Kuna taratibu maaluum za kufata na kukabidhi watu wa namna hiyo kwenye mikono ya sheria na si kupayukapayuka hovyo

Huwezi kushughulika na watu walio ndani ya taasisi za kidini kama unadeal na mlevi
 
Hakuna taratibu yoyote, kiongozi wa dini akitenda jinai tutajua na habari zake lazima zitoke sababu atakamatwa na kufikishwa polisi na mahakamani

Hakuna sheria yoyote inayosema kiongozi wa dini akitenda jinai basi isitangazwe.
 
Hizo ni Tabia tu watu wenyewe, Nafikiri ifike mahali tutofautishe hivi vitu kinyume na hapo tutakuwa tunachekwa Kwa ujinga mfano Prince Andrew Yuko kule kwenye Epstein files na kashfa kibao lakini hii haimaanishi kuwa maisha na mafundisho ya familia ya kifalme ya Uingereza yapo Kama Prince Andrew alivyo...

Nadhani superiority complex za kwenye Imani zinatumaliza kifikra Sisi waafrika, yaani ukiangalia hata hao waliotuletea hizi dini huko kwao jinsi walivyo mbali na ukiangalia yako mataifa ambayo hayana dini na jinsi yalivyo hivi sasa unaweza kudhani Sisi ni product ya mwisho kuumbwa tena ya mtumba.
 
Hakuna taratibu yoyote, kiongozi wa dini akitenda jinai tutajua na habari zake lazima zitoke sababu atakamatwa na kufikishwa polisi na mahakamani

Hakuna sheria yoyote inayosema kiongozi wa dini akitenda jinai basi isitangazwe.
Taasisi za kidini ni sawa na mzazi na mlezi wa jamii

Wanashughulika kwa upana wa malezi ya waumini wao

Kama umewahi kuwa mzazi na mlezi utaelewa Namaanisha nini

Wanashughulikiwa lakini kwa kuepuka vitu vinavyoweza kuweka taswira mbaya kitaasisi kwa wenye uelewa mdogo kama fulani wasipate taharuki
 
Kushuhulikiwa huko ndio haipaswi habari zitoke? Taasisi za kidini kuwa mzazi au mlezi wa jamii haimaanishi kuwa mmoja wao akitenda jinai basi inapaswa kuwa Siri

Huwezi kulawiti Watoto alafu habari zizitangazwe. Huo utakua ni upumbavu
Ukilawiti Watoto lazima habari zitangazwe, lazima tujue. Hiyo ni lazima maana kesi huwa wazi sio siri
 
Tembea na gari lenye spika katangaze Juma 2 zote ustadhi kabaka
 
Nafikiri watu wafundishe dini zao wakiamini kuwa katika hizi dini kuna wanadamu na wanatumiwa na shetani, nimeona waislam wakiutukana sana Ukristo ila wanasahau matukio machafu ya Wadada kubakwa na kufanyishwa biashara chafu Uarabuni, Vikundi vinavyojinasibu kwa jina la Uislam wakiwateka na kuua watu na watoto na kuwabaka na kuwalawiti...

Leo huko mafia kwenye uislamu 99.99% Mwalimu wa MADRASA kabaka na kulawiti watoto 15

Haya matukio ni mengi sana

Je Tuseme ndio uislam?

Binafsi nilishaamua mwanangu nitampa elimu ya Mungu nyumbani kwangu ,nashukuru Mungu kwasasa anayeendesha ibada ya asubuhi na jioni na kuombea chakula ni binti yangu wa miaka mitatu na nusu tu

Malezi na elimu ya Kiroho inaanzia Nyumbani,

Kanisa linaanzia Nyumbani

Tunaishi kwenye kizazi kibaya sana ,hutakiwi kumuamini mtu akutengenezee mtoto wako

Mtoto akitoka shule fatilia nini kimejiri huko shuleni

Wazazi tuwe makini sana kwenye malezi

Bila kusahau matuio kibao ya hapa hapa Nchini...

Tutenge dini na watu wanaochafua dini... Otherwise kila upande una taarifa mbaya sana za upande wa pili..
Big Show na Stuxnet😀😀
 
Back
Top Bottom