Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,149
Unajua nahisi watanzania wengi tumeshindwa kuelewa maana ya ufataki..nimejaribu kuangalia na matangazo yao wanayosambaza na kama nihivyo basi ndg mpoto ..hao wahusika waambie ukweli mafataki wa kike ni wengi kuliko wanaume\si mbaya mkatengeneza na matangazo yanayowagusa mafataki wa kike..vijana wengi wameoa wakitoka wanadai wako ofisini mpaka saa moja na nusu mbili ..kumbe wako ruvuma mpaka maputo wamefichwa na mijimama..na si hivyo tu kuna ma binti jamani ukipita mjini wala mshipa wa aibu awajaumbwa nao wanaanza kaka samahani kama nimekuona sehemu na ni wazuri na wewe kwa tamaa unajibu na mie kama nimekufananisha na mtu fulani...yaani na sehemu za wagen wanalipa wenyewe na wengine unakuta wanaenda kuchukua gari kwenye parking hasa lunch tym hasa lile saamoja na nusu waanandoa wanaumiasana...anyway tuwekeen na tangazo la wanwake