mafataki mshindwe na mlegee,tena mkome na mkomae!!

Hizo guest zote walikopita kwa nini hao wahudumu hawakumuita hata huyo mtoto chemba??? Wamemuacha tu aondoke na bazazi wake mwee..
 
Mie sioni haja ya kumlaumu FATAKI hapa. siamini kuwa huyo mzee anaweza akawa ametoka huko atokako akute tu mtoto barabarani amchukue hapa kuna walakini aisee naona walikuwa wamekubaliana kabisa haiwezekani kwani tangu atoke huko hakuona visichana vingine eeehhh??? Walikuwa na appointment hawa wasitufanye sisi wajinga. Hapa swala naloliona mimi ni Mama sema na mwanao mapemaaaaaaaa msianze kulaumu wababa wa watu ukiacha kumfundisha mwanao watamfataki kweli hawana mchezo, sasa wazazi ongeeni na watoto wenu msione haya jamani ndo mnawasaidia.

I TOTALY DISAGREE WITH YOU MY DEAR,
miaka 10,na mtu wa 47 cjui?,pliz mpendwa!
Nakubaliana na ww kuwa wazazi waongee na watoto wao lkn hayo mengine no thank you.
 
Kimey taratibu kuna watoto bongo siku hizi??? Wanajua mambo makubwa hata wewe mtu mzima huyajui acha kabisa naendelea kumlaumu mama haongei na mwanae kwanini?? Mie nakupa mfano binti yangu wa mwisho yuko std nikaanza kuzungumza nae alipovuka kuwa mkubwa natumai umenielewa mama yangu mzazi nilitaka kuzimia anajua mambo makubwa hadi ti** anajua hadi UKIMWI na mambo ya ajabu mie hata sijawahi kuyafanya nikamuonya na tukaelewana tusidanganyane bwana
Ah mi bado bana nalia na mafataki....sijakataa kuwelimisha watoto lakini kama mtu mzima tu anasomeshwa na kukubali kuvua gagulo itakua mtoto.....Asee mi nikikamata fataki inanyemelea mtoto wangu napiga risasi asee sina mchezo kabsaa...
 
mie sijui ntalifanyaje,Mungu apeshia tu mbali!
 
JK anasema ni vihelehele vyao hao watoto, wazazi wapeni watoto wenu vitu wanavyo taka sio pilau wanakula X.mass basi

hakuna mzazi asiyependa kumpatia mwanae vitu vizuri lkn sio wote wana uwezo huo.
ni wajibu wetu sote kuwalinda watoto,mzazi anapaswa aongee na mwanawe na kumuongoza ipasavyo,wanaume wote pia wana wajibu wa kuwalinda watoto na sio kuwarubuni.
Hata hivyo mwanaume anayeacha watu wazima wenzie na kufuata vitoto huyo atakua tu na mapungufu fulani.
 
Fataki azabu yake inamgojea tu, ila makosa si ya mtoto kabsaaa, makosa yameanzia kwa wazazi, wazazi wanakosea sana wanatakiwa kuwafundisha watoto wao toka wakiwa wadogo sana, nikiasi cha kumwambia mtoto do not talk to stranges, na usikubali kupewa lift na mtu yeyote, na kama wazazi mnamagari unaweza mwambia usipande gari kama sio ya mami au dad' na usipande gari kama mami au dad hawajapanda, hiyo haitamtoka mtoto kichwani hatakama gari ni ya ndugu atakataa, hataka kama ulimwambia akiwa na umri wa miaka mi wili hawezi fanya ulicho muonya asifanye, wazazi hawapati muda na watoto wao wakisubiri wakue kwanza bila kujua linalo wezekana leo lisingoje kesho. MLEE MTOTO KATIKA NJIA IMPASAYO NAE HATAIACHA HATA ATAKAPO KUA MZEE.
 
Ah mi bado bana nalia na mafataki....sijakataa kuwelimisha watoto lakini kama mtu mzima tu anasomeshwa na kukubali kuvua gagulo itakua mtoto.....Asee mi nikikamata fataki inanyemelea mtoto wangu napiga risasi asee sina mchezo kabsaa...

Mie sijawatetea nachosema mimi hapa ni kwamba wazazi zungumzeni na watoto wenu kama marafiki msiwaogopeshe, maana ukiogopeshwa ndo utapata hamu ya kujua kulikoni, usimwambie mwanao eti UKIMWI unaua, aaakkhh mwambie unajua ukipata ugonjwa huo itaugua, utawapa wazazi shida utafanya hivi na vile sio kukimbilia usivue ch*** sijui aaahh taratibu watawaelewa hata wakikutana na hao mafataki watayakumbuka maneno yenu.
 
mtoto wa miaka 10,hata akiambiwa anaenda guest...hawezi jua huko guest watu huwa wanafanya nini jamanii...
mnahalalisha ubaradhuli wa huyo fataki kwa kumlaumu mtoto...:redfaces:
 
ni kweli lkn bado mtoto ni mtoto na huyo fataki ndiye mwenye makosa na laana.
tujifunze namna ya kuongea na watoto zetu cheusi,sio kufanya kazi tuu na kupoteza muda kwenye mambo yasio ya lazima tukasahau majukumu yetu mwisho wa siku tunaanza kulaumu mafataki
 
tujifunze namna ya kuongea na watoto zetu cheusi,sio kufanya kazi tuu na kupoteza muda kwenye mambo yasio ya lazima tukasahau majukumu yetu mwisho wa siku tunaanza kulaumu mafataki

Nakuunga mkono kabisa Musinga tuseme nao
 
Dada Cheusi naomba nitofautiane na wewe Kidogo, Kwa jinsi nilivyosoma hapo juu, hako katoto wala hakakuwa na wasiwasi na kile kilichokuwa kinaenda kutokea, mimi siamini kuwa huyo mtoto alikuwa hajui kuwa wanaenda Guest kufanya nini? Sawa tumlaumu huyo fataki laikini na hako katoto kanahitaji lawama pia nadahni hata kakichekiwa katakutwa na shimo la kikubwa

wewe sijui ni baba sijui ni mama umenisikitisha sana unasema katoto kalaumiwe mtoto wa miaka 10, watoto ni rahisi sana kulaghaiwa hasa waishio katika mazingira magumu hv imagine angekua ni mtoto wako achekiwe akutwe na shimo kubwa sijui ungesema mwanangu umezidi wacha uwe na hilo shimo au (huna hata huruma) mwe
 
tujifunze namna ya kuongea na watoto zetu cheusi,sio kufanya kazi tuu na kupoteza muda kwenye mambo yasio ya lazima tukasahau majukumu yetu mwisho wa siku tunaanza kulaumu mafataki

mafataki pia ni lazima walaumiwe jamani hv unakumbuka wakati ukiwa mdogo ni mangapi ulielekezwa ukayatilia maanani? hv hawa wanaume sisi watu wazima tu huwa wanatudanganya mpaka tunaingia line hebu jiulize ushadanganywa na wangapi? mafataki ni lazima walaumiwe na ikiwezekana wakifumwa wachomwe moto kama wezi kwani ni zaidi ya wezi, kisa cha kwenda kumuambukiza ukimwi mtoto wa mwenzio
 
Nakuunga mkono kabisa Musinga tuseme nao

dena mpenzi unasema nao halafu unashinda nao? labda uniambie tuwaombee zaidi haya mafataki yana mbinu jamani kikubwa ni kuomba mungu tu amlinde mwanao atokapo na aingiapo
 
mtoto wa miaka 10,hata akiambiwa anaenda guest...hawezi jua huko guest watu huwa wanafanya nini jamanii...
mnahalalisha ubaradhuli wa huyo fataki kwa kumlaumu mtoto...:redfaces:

Kabisa yaani mi roho inaniuma watu wanapowatetea mafataki mimi mtoto wangu anamiaka 9 na nusu na bado anakunywa uji sembuse kujua habari za gesti atazijulia wapi?
 
Ah mi bado bana nalia na mafataki....sijakataa kuwelimisha watoto lakini kama mtu mzima tu anasomeshwa na kukubali kuvua gagulo itakua mtoto.....Asee mi nikikamata fataki inanyemelea mtoto wangu napiga risasi asee sina mchezo kabsaa...

yaani mi ndio nimeshikwa hasira mpaka basi ee mungu tuepushie balaa hili yaani mimi na yeye tutakutana mochwale
 
Nakuunga mkono kabisa Musinga tuseme nao

Ukishasema nae halafu fataki likaenda likamnanihii ukigundua utaanza kumlaumu mtoto wako wa miaka kumi kwamba hakusikiliza maneno uliyomuasa na kuona fataki limefanya cha maana, cause mtoto hasikii ya wazazi au dena leo umeamkaje mpenzi una watoto lakini? waujua uchungu wa mwana
 
Back
Top Bottom