Mafao ya NSSF yachukua sura mpya Ilala

Wewe ndo pumbuwazi kweli.... Hivi unafikiri wewe ndo una akili sana za kufikiria kuliko watu Mia walio lalamika hapa??

Sina Akili Mkuu. Wewe mwenye akili endelea kulalamika. Siku wakikupa mafao yako kwakuwa unalalamika sana nistue na mimi nije kulalamika Sawa UNpumbuwazi? F.U.C.K Y.0.U
 
vyuma vimeachia isipokuwa jamaa ndo wamebana.

Mimi simo wala sijasema kuwa......

NAOGOPA.......
 
Wito wangu ni huu!

Msiache kujishughulisha na shughuli nyingine zakuwaingizia vipato wakati mkisubiria hizo hela zenu huko nssf.

Sijawahi kusikia matajiri wakilalamikia hizo hela ila sisi masikini. Ni Muhimu sana tukawa makini na muda muda.

Nguvu nyingi tunayoiweka kwenye kudai mafao inatunyima nafasi ya kuwa creative na productive na muda.

Tafuteni namna nyingine ya kuwaingizia vipato was mkiwa mnafuatilia mafao. Hili litawapunguzia hasira. Wakati mwingine kosa au tatizo sio shirika, lakini kama huna hela ya kula mfukoni ni rahisi kuhisi ama kudhani mnahujumiwa.

I stand to be corrected, mimi pia nimeajiriwa. Ipo siku na mimi nitahitaji hizo hela, Mwenyezi Mungu anijalie busara.

Kulalamaika kinadhoofisha sana Mwili na Akili.
YOU ARE MORE THAN STUPID,..Fukuzwa kazi au mkataba uishe ndiyo utajua kupata hata kibarua au biashara ya haraka haraka kwa wakati huu wa MAGU ni vigumu
 
YOU ARE MORE THAN STUPID,..Fukuzwa kazi au mkataba uishe ndiyo utajua kupata hata kibarua au biashara ya haraka haraka kwa wakati huu wa MAGU ni vigumu

Hayo ni mawazo yangu tuu. Unanitukana for no reason. Halafu soma mwishoni nimemaliza vipi. Acha U.S.E.N.G.E
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom