Mafao ya NSSF yachukua sura mpya Ilala

Mafao ya NSSF yachukua sura mpya Ilala

whitehorse ,
Mkuu,
Tukichanganya Mungu na haya yanayotendwa inakuwa siyo Sawa.

Huyo Mungu anasisitiza haki ila hawa kuwaachia Mungu awaone ni kupoteza muda.

Dawa yao ni 2020 kila anayepitisha sheria za hovyo huko bungeni kwenye jimbo apate kura mbili tu yaani ya mke wake na yake mwenyewe.

Hapo ndiyo Mungu atawaona vizuri.

Ila wakipata kura zote na kushinda wataendelea kupitisha sheria uchwara na kupitishwa bila kipingwa.

Any way, vyama vya wafanyakazi, walimu vyote naona hakuna wanachokifanya zaidi ni kusifu na kuabudu tu.

Nimekuelewa mkuu ni kweli Mungu haingii . Mungu anisamehe tu. Ila hii mifuko hii imeshatumika vibaya kabisa tangu walipoanza kujikopesha pesa kina Sumaye.
 
Inasikitisha sana...

Wanafanya haya yote kwa maelekezo... Ndiyo maana hawawezi ruhusu mtoe malalamiko...


Cc: mahondaw
 
awamu ya tano hakuanzisha nssf ipo tangu zamani na ina matatizo ya kulipa tangu zamani sio kila kitu kumlaumu rais wa awamu ya tano
 
Nimekuelewa mkuu ni kweli Mungu haingii . Mungu anisamehe tu. Ila hii mifuko hii imeshatumika vibaya kabisa tangu walipoanza kujikopesha pesa kina Sumaye.

whitehorse ,
Kabisa kabisa mkuu.,
Yaani hawa jamaa tuliowakabidhi mikoba yetu ya fedha ni vichwa panzi kweli kweli.
 
mimi PSPF huku Mwanza walisha niambia mpaka nifikishe miaka 55 ndo ntapata, yn nlifatilia nikaambiwa nikae miezi 6 ndo watanipa nliporudi ndo nkakutana na majibu ya miaka 55 sio siri machozi yalinitoka, sasa ni mwaka 1 na miezi 3 toka bank moja maarufu hapa tz ikatishe mkataba wangu ila mpaka leo cjawai pata haki yangu na ndo nlikuwa napigia hesabu haka ka mafao kawe ka mtaji kangu mtaani. Ila kinacho nshangaza ni kuwa wenzangu tulioctishiwa mkataba kwa pamoja walio kuwa mfuko tofauti na PSPF kule LAPF hawakuchukua hata miezi 6 wakapata mafao yao, sasa ckuelewa cjui kwnn PSPF wamekatalia hela yangu mpaka sasa ilihali ndo nlikuwa ningalia kwa macho yote kama mtaji jmn.
Pole sana, kwakweli unaweza kufa kwa shinikizo la damu, maana inatia hasira kwelikweli
 
Pesa za nssf zote zinatumika kujengea fly over za tazara na ubungo.. kuweni na subira tu.. mkifa kabla hamjapata serikali itazitumia kuboreshea miundo mbinu ya nchi yenu wapendwa.
Acha kuleta hasira, ujue watu wana hali ngumu sana. Niliwasikia nssf siku moja wanadai mpk ufike 55 na hata huko haupewi yote kwa mpigo, no, unapewa an equivalent to 3 salaries then unaanza kuwekewa "drip yao pendwa" yaani wanakupa mdogo mdogo mpaka uvute, jamani tuchukulie mafao ya hifadhi ya jamii kuwa ni kodi tu kama ilivyo PAYE
 
Najiuliza tu swali, mwanachama wa hii mifuko anazungushwa akili namna hii angali hai hivi akifa wale warithi wake nadhani nao watakufa bila kuonja shilingi kumi ya mpendwa wao . Kwa kweli hii mifuko kwa hali ya sasa inatia hasira tu na siyo faraja tena.
 
Wito wangu ni huu!

Msiache kujishughulisha na shughuli nyingine zakuwaingizia vipato wakati mkisubiria hizo hela zenu huko nssf.

Sijawahi kusikia matajiri wakilalamikia hizo hela ila sisi masikini. Ni Muhimu sana tukawa makini na muda muda.

Nguvu nyingi tunayoiweka kwenye kudai mafao inatunyima nafasi ya kuwa creative na productive na muda.

Tafuteni namna nyingine ya kuwaingizia vipato was mkiwa mnafuatilia mafao. Hili litawapunguzia hasira. Wakati mwingine kosa au tatizo sio shirika, lakini kama huna hela ya kula mfukoni ni rahisi kuhisi ama kudhani mnahujumiwa.

I stand to be corrected, mimi pia nimeajiriwa. Ipo siku na mimi nitahitaji hizo hela, Mwenyezi Mungu anijalie busara.

Kulalamaika kinadhoofisha sana Mwili na Akili.
unayaongea kwa kuwa una mtaji
 
Huu ni upuuzi yaani mtu unahenya na kazi halafu pesa yako unasumbuliwa kupewa...huu ujinga utaisha lini hasa......ifike mahali kukatwa pesa mifuko ya jamii iwe hiari sasa.........watu washachoka kuumizwa.

Unanyanyaswa na mhindi kwenye kazi na kwenye haki zako pia unanyanyaswa............!!!

Watawala wetu wawe na huruma na huyu mfanyakazi.
 
mimi PSPF huku Mwanza walisha niambia mpaka nifikishe miaka 55 ndo ntapata, yn nlifatilia nikaambiwa nikae miezi 6 ndo watanipa nliporudi ndo nkakutana na majibu ya miaka 55 sio siri machozi yalinitoka, sasa ni mwaka 1 na miezi 3 toka bank moja maarufu hapa tz ikatishe mkataba wangu ila mpaka leo cjawai pata haki yangu na ndo nlikuwa napigia hesabu haka ka mafao kawe ka mtaji kangu mtaani. Ila kinacho nshangaza ni kuwa wenzangu tulioctishiwa mkataba kwa pamoja walio kuwa mfuko tofauti na PSPF kule LAPF hawakuchukua hata miezi 6 wakapata mafao yao, sasa ckuelewa cjui kwnn PSPF wamekatalia hela yangu mpaka sasa ilihali ndo nlikuwa ningalia kwa macho yote kama mtaji jmn.

Hii nchi hawa wenzetu tuliowapa madaraka huenda wakawa sio Watanzania maana sio kwa manyanyaso haya.
 
Serikali hii imejaa dhuruma kila mahali, kwenye kupiga kura dhuruma, kwenye mshahara makodi matupu yaani
Sasa mkuu hivi hizi kura za kishindo viongozi wanaovhaguliwa kupitia chama hiki wanazitoa wapi?
Au watanzania sio watu wa kuwaamini leo unamnyanyasa lakini kesho kasahau anakupigia debe?
 
Wito wangu ni huu!

Msiache kujishughulisha na shughuli nyingine zakuwaingizia vipato wakati mkisubiria hizo hela zenu huko nssf.

Sijawahi kusikia matajiri wakilalamikia hizo hela ila sisi masikini. Ni Muhimu sana tukawa makini na muda muda.

Nguvu nyingi tunayoiweka kwenye kudai mafao inatunyima nafasi ya kuwa creative na productive na muda.

Tafuteni namna nyingine ya kuwaingizia vipato was mkiwa mnafuatilia mafao. Hili litawapunguzia hasira. Wakati mwingine kosa au tatizo sio shirika, lakini kama huna hela ya kula mfukoni ni rahisi kuhisi ama kudhani mnahujumiwa.

I stand to be corrected, mimi pia nimeajiriwa. Ipo siku na mimi nitahitaji hizo hela, Mwenyezi Mungu anijalie busara.

Kulalamaika kinadhoofisha sana Mwili na Akili.
Unafanyaje bila mtaji? na mtaji wanao wenyewe wameushikilia
 
Kaka mmoja analalamika kuwa alifungua madai Juni mwaka Jana akaambiwa akae miezi 6. Aliporudi akapigwa miezi 3 tena.


Hata kama wafanyakazi ni watu wa kufika ofisini na kulala au kusinzia siamini kama inachukua miezi 6 kushughulikia swala hilo
 
Wito wangu ni huu!

Msiache kujishughulisha na shughuli nyingine zakuwaingizia vipato wakati mkisubiria hizo hela zenu huko nssf.

Sijawahi kusikia matajiri wakilalamikia hizo hela ila sisi masikini. Ni Muhimu sana tukawa makini na muda muda.

Nguvu nyingi tunayoiweka kwenye kudai mafao inatunyima nafasi ya kuwa creative na productive na muda.

Tafuteni namna nyingine ya kuwaingizia vipato was mkiwa mnafuatilia mafao. Hili litawapunguzia hasira. Wakati mwingine kosa au tatizo sio shirika, lakini kama huna hela ya kula mfukoni ni rahisi kuhisi ama kudhani mnahujumiwa.

I stand to be corrected, mimi pia nimeajiriwa. Ipo siku na mimi nitahitaji hizo hela, Mwenyezi Mungu anijalie busara.

Kulalamaika kinadhoofisha sana Mwili na Akili.
Wewe ndo pumbuwazi kweli.... Hivi unafikiri wewe ndo una akili sana za kufikiria kuliko watu Mia walio lalamika hapa??
 
Fomu wanatoa wao ni baada ya mteja kuangalia salio lake na inasainiwa na mwajili wa mteja iweje wazitilie shaka fomu zao wenyewe hapo kirusi tayari kimeingia hawana hela ya kulipa tutagawana daraja la kigamboni ndimo zilimo hela zetu
 
Back
Top Bottom