Mafao ya LAPF

tofali

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
4,010
3,405
Habari
Naomba kuuliza..hivi mafao ya LAPF yanatolewa kwa waliokua wanachama wake baada ya kuacha kazi...kuna dogo langu limefanya kazi kwa mkataba wa miaka 2 na mradi fulani...sasa michango ilikua inapelekwa LAPF..swali ni je atapewa mafao yake baada ya kumaliza mkataba...au ndo mpake azeeke na kufika umri wa kustaafu
 
Nayeye mvivu wa kufukiri. Si aende kufatilia ili ajue, au dogo sana hana shida ya pesa?
 
Si mvivu kivile..ni kwamba yuko vijijini huko..sasa hilo swali aliniuliza jana kwenye simu ktk story mbili tatu...nikaona nije kuuliza hapa...isije ndo yaleee ya kusubiri uzeeke
 
Back
Top Bottom