Mafanikio ya vilabu vinavyoshiriki African football league(super league)

Tarehe 20 Mwezi huu Yanga wanatakiwa wacheze Machi ya Ufunguzi.

Wahusika fanyeni mpango mechi ya Ufumguzi iwe kati ya Yanga na Ihefu.
 
UVibonde wa Ihefu hawapo...na kuingia kote fainali ya loser cup...what a loss???
 
Kuelekea uzinduzi wa AFL 2023 nimewaletea makala ya timu shiriki mpate kujua mafanikio yao katika mashindano ya AFRICA na DUNIA

uper Cup ni kombe linalotokana na mechi ya ufunguzi wa mashindano ya CAF bingwa wa CAF CL anacheza na bingwa wa CAF CC ila Super league ndo hili bonanza la Oktoba 20
Wiki hii ya African Football League, mechi za mashindano mengine ya vilabu hapa Bongo zimesimama na watu hawana kazi za kufanya, kwa hiyo tutazamie mapovu mengi kutoka kwa mashabiki ambao timu zao zimesimamishwa kucheza halafu hazishiriki AFL. Ni kutokana na ukosefu wa ajira 🤣
 
Kuelekea uzinduzi wa AFL 2023 nimewaletea makala ya timu shiriki mpate kujua mafanikio yao katika mashindano ya AFRICA na DUNIA

Al-Ahly
Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 11, ubingwa Caf Winners Cup mara 4, Caf confederation cup mara 1 mwaka 2014 CAF super Cup mara 8 afro Asian Cup mara 1, Arab club champions cup mara 1, Arab Super cup mara 2 Fifa Club World cup nafasi ya 3,

TP Mazembe
Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 5, Winners Cup mara 1 mwaka 1980, Caf confederation cup mara 2 mwaka 2016 na 2017 CAF super Cup mara 3 Fifa Club World cup nafasi ya 2 mwaka 2010,

Wydad Athletic Club
Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 3, Winners Cup mara 1, CAF super Cup mara 1

Esperance de Tunis
Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 4, Winners Cup mara 1, Caf cup mara 1 mwaka 1997 CAF super Cup mara 1 mwaka 1995

Mamelody Sundowns
Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 1 mwaka 2016 na mwaka 2001 waliingia fainali, CAF super Cup mara 1 mwaka 2017

Enyimba
Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 2 mwaka 2003 na 2004, CAF super Cup mara 2

Simba Sports Club
NGUVU MOJA, UNYAMA MWINGI
Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 0, Winners Cup mara 0, Caf confederation cup mara 0 CAF super Cup mara 0 na Fifa Club World cup hawajawahi GUSA,

ANGALIZO
Kuna Super Cup na Super League ambapo Super Cup ni kombe linalotokana na mechi ya ufunguzi wa mashindano ya CAF bingwa wa CAF CL anacheza na bingwa wa CAF CC ila Super league ndo hili bonanza la Oktoba 20
Unyama mwingi boy
 
Ipo siku sumba

Ipo siku Simba tutalibeba
 
Back
Top Bottom