Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

Na kikubwa zaidi aliruhusu hoja mbadala na uhuru wa maoni, kuwa hata nikikosea muwe huru kunisema. Sasa huyu malaika wetu mkuu ambaye ana makosa LUKUKI KULIKO wote waliomtangulia yeye anataka asifiwe tu...
Hivi huo uhuru wa maoni ni upi? Uhuru wa akina Mbowe na Msigwa? Watu ambao quality yao ni hovyo? No!
 
phase two alitoa umeme kunduchi kwenda Zanzibar.
Mkuu acha kujimwambafy bilakuwa na facts.
Mwalimu Awamu ya Kwanza alisupply umeme Zbar 45 MW kwa msaada toka Norway in 1980.
Baadaye Awamu ya tatu( planning awamu ya pili) ,2010, ilisupply umeme Pemba 25MW kwa msaada wa Norway.
Awamu yaTatu tena kwa msaada wa Millenium Challenge, MCC Marekani, upgrading umeme Zbar kwa umeme wa100MW mwaka 2013.
 
Hujaeleweka,wewe unalinganishaje mafanikio kati ya JK na JPM?
Mimi naona JK yupo mbali sana ukilinganisha na huyu wa sasa,yapi.maoni yako
Tungewatendea haki wote wawili katika muda unaofaa. Mmoja ana miaka mitatu na miezi 10, mwingine alitumikia kwa miaka 10.

Hakuna uwiano hapo.
 
Kwa Kifupi Kikwete kafanya Mambo mengi sema kosa alilofanya ni kuruhusu watu wamchezee sharubu

Kikwete Kaongeza Hospital kadhaa
While za Kata
Nyumba za watumishi wa Umma kama Polisi na Walimu
Vivuko nchi nzima
Barabara za kutosha
Kajenga Mwendo kasi
Kajenga uwanja wa Ndege terminal 3 japo JPM kaja kuizindua tu
Kajenga viwanja vya ndege Songwe, Bukoba, Mbeya, na Mwanza
Kwenye uwanja wa ndege mwanza hapo fikiria tena
 
Mkuu acha kujimwambafy bilakuwa na facts.
Mwalimu Awamu ya Kwanza alisupply umeme Zbar 45 MW kwa msaada toka Norway in 1980.
Baadaye Awamu ya tatu( planning awamu ya pili) ,2010, ilisupply umeme Pemba 25MW kwa msaada wa Norway.
Awamu yaTatu tena kwa msaada wa Millenium Challenge, MCC Marekani, upgrading umeme Zbar kwa umeme wa100MW mwaka 2013.
asante, kumbe 2013 kwa maneno yako unaona JAKAYA alileta umeme
 
NDANI YA MIAKA 10 KIKWETE ALIFANYA HAYA MAZITO IKIWEMO DEMOKRASIA
1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha
17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)
23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano
26. JNICC Conference center(Ukumbi wa kisasa)
27. Ukumbi wa kisasa wa CCM Dodoma.
28. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi julai
29. Ajira kila mwaka
30. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.
33. Demokrasia iliyopevuka
Hawa wanaomtukana na kusema kuwa hakufanya chochote zaidi ya wizi na ufisadi walikuwa wanaishi nchi gani?.
 
"JK" alitukosea sana watanzania kutupa huyu "MBABA" ashikilie usukani, na kuthibitisha hilo yeye mwenyewe anaambiwa hajafanya lolote kuhusiana na maendeleo ya nchi hii (Good For Nothing).

Kwa hili la "JK" kumpa "JIWE" kijiti cha mbio, anapaswa kutubu dhambi yake kwa wananchi na kwa mungu wake.
 
NDANI YA MIAKA 10 KIKWETE ALIFANYA HAYA MAZITO IKIWEMO DEMOKRASIA
1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha
17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)
23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano
26. JNICC Conference center(Ukumbi wa kisasa)
27. Ukumbi wa kisasa wa CCM Dodoma.
28. Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi julai
29. Ajira kila mwaka
30. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.
33. Demokrasia iliyopevuka
Hawa wanaomtukana na kusema kuwa hakufanya chochote zaidi ya wizi na ufisadi walikuwa wanaishi nchi gani?.
Naona ungeipongeza ccm kwa kukupatia viongozi bora kuliko kutaka kulinganisha miradi!
 
Kama kweli wewe si mnafiki toa pia orodha ya maovu na ubadhilifu wa mali/fedha za umma uliofanyika katika kipindi cha uongozi wa awamu ya nne ya JMT ili tuweze kuona pande zote mbili.
 
Mkuu kuna uzi kule wa upembuzi yakinifu wa chujio sijakuona kule kunahusu, swaiba wako Prof Mbawala naona kitanzi kinamyemelea..
Yule Profesa bomu.
Tumempa ushauri wa kitaalam humu mtandaoni , yeye kashupaza shingo kujidai anajua kusimamia wakandarasi kumbe hajui kitu.

Matatizo kajitakia mwenyewe.
 
FAHAMU MAMBO MACHACHE ALIYOFANYA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE
1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. JNIA terminal III
8. DART(Mwendo kasi)
9. Sekondari za Kata nchi nzima kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha
17. Dangote industry
18. Bomba la gesi Mtwara Dar
19. Kinyerezi I&II
20. Hospitali ya Moyo
21. MOI
22. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami(zaidi km 14000 zilijengwa nchi nzima)
23. Umeme kwa makao makuu ya wilaya
24. Kuvusha Umeme Zanzibar
25. Ujenzi wa Mkongo wa taifa wa mawasiliano(leo tunajimwambafai na internet matunda ya JK)
26. JNICC Conference center(Ukumbi wa kisasa)
27. Hata CCM wenyewe aliwajengea ukumbi wa kisasa Dodoma.
28. *Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi julai*
29. *Ajira kila mwaka*
30. *Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.*
32. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu katika ukanda wa maziwa makuu.
33. Demokrasia iliyopevuka
34. Aliwagomea CCM na kuwaambia hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, sio kwa kipigo cha polisi.
Hayo ni machache ya Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete lakini hakujimwambafai.

Kwakuhitimisha Kikwete alifanya makubwa na Mikopo aliyokopa kila mmoja ananufaika nayo na vitu vinaonekana.

Kubwa zaidi lingine aliwaunganisha watz kwa pamoja bila kujali vyama vyao mpinzan kwake hakuonekana kama adui

Ukiona mtu anambeza KIKWETE mtafakari

MAGUFULI a.k.a Doctor wa VIWANDA

1. Stigla.

2. SGR

3. Kumalizia Barabara alizoanza Kikwete.

4. uzinduzi wa Vitu ambavyo vilisha zinduliwa.

ALIYO HARIBU MAGUFULI NA NGUMU KUYAREKEBISHA

1. KUUZA nyumba za serikali

2. Makao makuu dodoma/Kule ni bonde la ufa na tetemeko mda wowote linatokea, hasa baada ya jiji kujengwa maghrofa na kuwa na mgandamizo mkubwa wa ardhi.

3. Kuuwa kabisa korosho.

4. Chuki dhidi ya watu wa kaskazini.

5,Kufyatua: akili yake anadhani idadi kubwa ya watu ndio utajiri, kama ameshindwa kutumia population iliyopo ijayo ataweza?

6.Kuua demokrasia , tena kwa kasi kubwa.

7.Ukabila/ upendeleo kwa watu wa kabila fulani

8. Kuua TBC kwa kumtumia ryoba na kuikuza CHANNEL 10
 
7.

8....
Huu ni uchochezi!
 
Back
Top Bottom