Mafanikio ya Uganga yapo?

Mafanikio ya Uganga yapo?

Mbona waganga wote wameanguka kura za maoni? Kuna yule mzee wa moshi na majini wa tanga
Haya mambo yana vipande mbali mbali haviiingiliani Je unayajua maisha yao kifedha yapoje wale ni watu wana pesa mkuu
 
Hakuna pesa ya halali
Ukiitaka hiyo utaishia kununua ist au rav 4
Kujenga nyumba yenye choo cha ndani,kuizungushia ukuta.
Watoto wako kusoma medium,kuoa kusifia wanaume wenzio na kuikosoa serikali

Ila kama unataka kutanua,kufahamika,kula bata mpaka kuku waone wivu
Huwezi kuipata kiuhalali
Either utoe kafara au ukubali kuwa pirate
Sidhani kama kuna la ziada
 
whyme wewe usisikilize maneno ya watu humu kila mmoja ana ishi anavyoona inafaa kwake. We tafuta mtaalamu makini atakutoa kimaisha, hizi ishu mbona zipo tu. Kuna ule uzi wa utajiri wa ndagu wa member mmoja katoa ushuhuda wake sema yeye kauongelea kwa dhana ya ubaya wake ila uzuri wake hajauongelea kabisa. Hizi mambo zipo na watu wanatoka tu hata humu JF wamo! Ila wamepiga kimyaa hawana kimuhemuhe wao na pesa, pesa na wao.
 
basi humu utapigwa mahubiri na wachungaji feki hadi ushangae

anyway kwa swali lako. jibu ni ndiyo. ila kama unauliza kwa kutega au una beep response hutofanikiwa kwa lolote.

wachungaji, manabii, ma padre wote wanatumia mambo yao ya SIRI.

wewe hujiulizi the so called watu wa mungu wana nunua majumba huko beveryl hills marekani ya madola ya bilioni wanatembelea private jets ila angalia wafuasi wamekondeana kama njiti ya kiberiti
Naona ushaanza kutoboa
 
Hakuna pesa ya halali
Ukiitaka hiyo utaishia kununua ist au rav 4
Kujenga nyumba yenye choo cha ndani,kuizungushia ukuta.
Watoto wako kusoma medium,kuoa kusifia wanaume wenzio na kuikosoa serikali

Ila kama unataka kutanua,kufahamika,kula bata mpaka kuku waone wivu
Huwezi kuipata kiuhalali
Either utoe kafara au ukubali kuwa pirate
Sidhani kama kuna la ziada
Aseee mimi nikipata hivi tu basi, haya mambo ya magorofa, mandege mameli hapana kwa kweli, Mungu anijaalie vichache basi
 
Ujue maisha ni mchezo, wewe endelea kufumba macho usali kama wamisionari walivyofundisha. Utaendelea kuabaki na Biblia mkononi ukisubiri ufalme wa juu .
 
Ujue maisha ni mchezo, wewe endelea kufumba macho usali kama wamisionari walivyofundisha. Utaendelea kuabaki na Biblia mkononi ukisubiri ufalme wa juu .
Ukijifanya mwema Sana, mafanikio yako utalipwa uko mbinguni

Hii dunia Ina wenyewe.
 
Wewe nenda Sudan Temeke karibu na madadapoa, panda gari za Liwale, ukifika Liwale panda daladala za Mpigamiti au Lilombe huko ukifika waambie nataka mganga wa ngende . au Nenda kijiji cha Ndapata huko utajionea maajabu Simba anapiga story na mganga
Lilombe kwa mzee mbumulile
 
Mchezo ukicheza kwa weledi ya hali ya juu si unashinda? Basi elewa maisha ni mchezo na refa wake ni sangoma. Nimejibu swali. Kuwa macho, wanafiki watasema Mungu hutoa utajiri, na huku wakihudhuria kwa sangoma kwa Siri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom