Mafanikio ya Uganga yapo?

Mafanikio ya Uganga yapo?

Wewe nenda Sudan Temeke karibu na madadapoa, panda gari za Liwale, ukifika Liwale panda daladala za Mpigamiti au Lilombe huko ukifika waambie nataka mganga wa ngende . au Nenda kijiji cha Ndapata huko utajionea maajabu Simba anapiga story na mganga

Duuh uhakika lkn ?
 
Yule aliyesema kachukua maamuzi magumu😂
Kaghairi maamuzi yake!?
Kimya week nzima
 
Nenda ngende wewe acha ulofa. Utahangaika na maisha mpaka lini?
Unasoma kwa shida, mshahara unaupata kwa shiida, na kujenga unajenga kwa shiida.
Ngende utajiri ni 200%, no kumwaga damu, ni masharti tu uyazingatie
Mwishowe lazima umwage damu. Mifano ipo kibao.

Masharti ya ajabu ajabu - hakuna kunywa pombe/mademu nje ya mkeo wewe na ndugu zako wa damu. Ukimpa hela ndugu yako akafanya ni sawa na wewe umefanya. Kuna kulala sakafuni kwenye mkeka sehemu ambayo haina tiles wala floor ya cedment - mkeka uguse udongo. Ukimaliza shughuli na mkeo lazima ulale chini.
 
Mbona watu walio karibu na hapo Ni masikini wa kutupwa?? Akili ya kuambiwa changanya na umbea
Mara nyingi ukikaa na mganga kwa muda mrefu basi unamzoea unakuwa humuamini tena na unaona hawez fanya chochote juu yako bt wale wa mbali wakija wanaamin na wanatoboa
 
Mwishowe lazima umwage damu. Mifano ipo kibao.

Masharti ya ajabu ajabu - hakuna kunywa pombe/mademu nje ya mkeo wewe na ndugu zako wa damu. Ukimpa hela ndugu yako akafanya ni sawa na wewe umefanya. Kuna kulala sakafuni kwenye mkeka sehemu ambayo haina tiles wala floor ya cedment - mkeka uguse udongo. Ukimaliza shughuli na mkeo lazima ulale chini.
Masharti yote ya waganga Ni ya kudhalilishana tu.
Kama huli nyama, huhongi, hunywi pombe, huvai nguo za Fulani, huli vyakula vya gharama. Kweli hapo unahitaji masharti ndio uwe na pesa. Ukifunga mirija ya pesa kutoka huhitaji mganga Wala shehe majini
 
Wewe nenda Sudan Temeke karibu na madadapoa, panda gari za Liwale, ukifika Liwale panda daladala za Mpigamiti au Lilombe huko ukifika waambie nataka mganga wa ngende . au Nenda kijiji cha Ndapata huko utajionea maajabu Simba anapiga story na mganga
Lakini wewe si tajiri.
Au wewe hutaki utajiri?
 
Mwishowe lazima umwage damu. Mifano ipo kibao.

Masharti ya ajabu ajabu - hakuna kunywa pombe/mademu nje ya mkeo wewe na ndugu zako wa damu. Ukimpa hela ndugu yako akafanya ni sawa na wewe umefanya. Kuna kulala sakafuni kwenye mkeka sehemu ambayo haina tiles wala floor ya cedment - mkeka uguse udongo. Ukimaliza shughuli na mkeo lazima ulale chini.
kulala chini na vtu vingine unapata kula kuvaa, watoto kusoma vizuri ni bora

kuliko kulala chini na na hata kula shida
 
Nenda ngende wewe acha ulofa. Utahangaika na maisha mpaka lini?
Unasoma kwa shida, mshahara unaupata kwa shiida, na kujenga unajenga kwa shiida.
Ngende utajiri ni 200%, no kumwaga damu, ni masharti tu uyazingatie
Gharama ana chaji baada ya wewe kufanikiwa au kabla
 
Jioni kuna kipindi cha radio kinasimulia mambo hayo 12:15 jioni Efm....ww mtoa mada ulisikia huko???....
....hakuna utajiri bila kutumia akili yako ipasavyo....hiyo pesa ya kumpa mganga nenda kauze nyanya...
 
Wewe nenda Sudan Temeke karibu na madadapoa, panda gari za Liwale, ukifika Liwale panda daladala za Mpigamiti au Lilombe huko ukifika waambie nataka mganga wa ngende . au Nenda kijiji cha Ndapata huko utajionea maajabu Simba anapiga story na mganga
Sawa kabisa ila kabla hujaenda kujiingiza kwenye matatizo chunguza kwanza wenyeji wako. Wao wako vipi? Hawauhitaji huo utajiri? Kwa nini wengi hutafuta za kuwapiga miti wanawake tu na sio za kupata mali?? Wajua kuwa liwale sasa kwatoka madini? Mbona wa huko hawayatafuti? Ukiisha kuyajibu hayo yote, basi ingia kwa huyo mganga akugangue. Mtaji wa masikini ni nguvu zake sio uganga
 
Nna shida na member yoyote anayeishi Nzega mjini. Kuna ishu nahitaji anisaidie. Kama atasoma post hii ani cheki PM
 
niseme huyajui maisha, sio matatizo bali ni neema kubwa , hao wenyeji kila mtu ana chaguzi zake maishani, mwingine kakubali kufa maskini, mwingine kakubali kutembea na wanawake tu hadi mwisho wa uhai, mwingine kaamua kua mlokole, mwingine kaamua kua malaya, kua shoga, wengine akina sisi tumeamua kuufuta umasikini na kuutafuta utajiri kwa njia zozote
You are a genius of our time. Yaani nadhani weye ndo wa kwanza kwenye ukoo wako/kabila lako/mkoa na taifa kwa jumla. Ndo weye tu umejua namna pekee ya kuupata utajiri ni kwenda kwa mganga. Pole sana ila mtaji wa kuuondoa huop umasikini ni nguvu zako. Nenda kachape kazi ndo kuna mafanikiooo.
 
Nasikisia sana hizi habari fulani kawapata utajiri sababu ya majini n.k. Je, ni kweli hizi mambo zipo na kama zipo unazipataje?
Mbona waganga wote wameanguka kura za maoni? Kuna yule mzee wa moshi na majini wa tanga
 
niseme huyajui maisha, sio matatizo bali ni neema kubwa , hao wenyeji kila mtu ana chaguzi zake maishani, mwingine kakubali kufa maskini, mwingine kakubali kutembea na wanawake tu hadi mwisho wa uhai, mwingine kaamua kua mlokole, mwingine kaamua kua malaya, kua shoga, wengine akina sisi tumeamua kuufuta umasikini na kuutafuta utajiri kwa njia zozote
Broo we ni kama hebu tukutane Pm hawa watu kama hawataki pesa si wake kimya tu
 
Back
Top Bottom