Inaweza kuwa ngumu sana kuamini na kuilewa hii kwa wanaume, ila leo tumia macho yako kusoma thread hii......
Tumezaliwa katika kizazi ambacho kilichojitenga na maadili mema ya kijamii ambapo mambo mabaya, ushetani, uongo yamegeuzwa kuwa haki na dunia huyaabudu hayo, nije kwenye point...
Kwa utafiti wangu usio rasmi hiki ndicho nimegundua.
Yule jamaa aliyekuwa anafanya kazi za kulipwa 3000 kwa siku, tena akitegea anakatwa. Kazi ngumu kiwanda cha samaki. Alipoanza kufundisha tution akajenga nyuma, alipopata fursa ya kusoma zaidi leo ni muathiri mkubwa chuo flani nchini.
Yule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.