NYEKUNDU YA BIBI
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 2,307
- 3,018
Kiasi cha pesa kinategemea unatak kufanya ishu gani haswa jeh!? Unahitaji karasha ukusanye marudio au unataka kuanza manunuzi ya dhahabu yenyeweKiasi gan cha pesa
Kinafaaa kuanzia kweny hiyo biasharaa
Dhahabu halisi ikikutana na madini ya mercury inatengeneza muungano flani temporary lakini sio reaction kwa sababu gold inasifa yakua na poor reactivityutaijuaje kuwa hyo NI dhahabu?
Hapana dhahabu inasafishwa ila kwa wanunuzi wale wa chini kabisa dhahabu hua inachomwa tu moto bila yakusafishwa na kuuzwaNimesikia kuna vibali vimeanza kutolewq kwaajili ya kuwekeza kwenye refinery za dhahabu, hapo awali dhahabu ilikua haisafishwi.?
Pia niongezee hapa dhahabu ikikutana na conc.nitric acid inabaki kua non reactive yaani inatulia tuli ila dhahabu bandia inateketea kama vuzi za kahaba.utaijuaje kuwa hyo NI dhahabu?
Mkuu cha kwanza inabidi uwe timamu wa akili cha pili kuna kutafuta leseni ya uchimbaji cha pili ukiipata leseni jeh!? Hio leseni yako inaenda kuathiriy vipi mazingira unakutana na watu wa mazingira ili wakadirie uharibifu utakao ufanya katika mazingira ufanye malipo ya uharibifu ndo uanze kaziIli upewe kitalu cha kuchimba dhahabu INATAKIWA uwe na vigezo gani?
Hapana kabisa mimi nathibitisha hili kwa kua nilichopata ndani ya miezi sita tu nithamani ya posho ya mstaafu ambayo nasema kwa uwazi ningekomaa na kusom magari na nyumba nzur ningevisikia kwa balozi wa Tanzania nchini IndiaJe ni kweli biashara hii ya madini inahusika na mambo ya kiushirikina? tafadhali uwe mkweli hahaah
Poleni na mfungo ndugu zangu waislam kaka zangu,dada zangu,na wengine wenye umri kama wangu yaani below 25 niulizeni ndugu yenu hapa kijana mwenzenu,
Niulize chochote kuhusu hii biashara nitakujibu
Chochote kinachokutatiza nitakujibu
Karibuni kwenye uwanja wa madini msiogope niulize chochote nitakujibu kwa kina. Kama pia una neno unataka kuongezea ni mjuzi pia karibu sana utupe na wewe chochote
Kuna risk gani katika biashara ya madini ?Hapana kabisa mimi nathibitisha hili kwa kua nilichopata ndani ya miezi sita tu nithamani ya posho ya mstaafu ambayo nasema kwa uwazi ningekomaa na kusom magari na nyumba nzur ningevisikia kwa balozi wa Tanzania nchini India
Je ni kweli kuwa milima yote anayomiliki Geita Gold mine huko mkoa wa Geita Ina dhahabu nyingi na dhahabu yake inapatikana sio kwenye kina kilefu?Nataka gold detector (underground), kwa hapa Tanzania napata wapi?? Bei yake inakwenda ngapi??
Karibu mkuu kwa Mr msoma commentsNaqeka kambi hapa
Mkuu cha kwanza inabidi uwe timamu wa akili cha pili kuna kutafuta leseni ya uchimbaji cha pili ukiipata leseni jeh!? Hio leseni yako inaenda kuathiriy vipi mazingira unakutana na watu wa mazingira ili wakadirie uharibifu utakao ufanya katika mazingira ufanye malipo ya uharibifu ndo uanze kazi
1.Usiingize pesa kwa mkumbo wala kushauliwa na rafiki nenda kama mjinga wakutafuta kaziKuna risk gani katika biashara ya madini ?
Naomba riak tatu kubwa mabazo kwa uzowfu wako unaona kabisa mtu anayeanza anatakiwa kuziepuka ...?